Kwenye group za whatsapp na statuses wazanzibari wamefurahi mnooo

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
25,968
Reaction score
36,044
Naona kwenye groups za whatsapp na whatsapp statuses wazanzibari wamefurahi mno huyo ndejembi kupendekezwa kuchukua nafasi ya nchimbi.

Wanashangilia sana isiyo kifani na kumsifu samia na kwa kuwaletea ndejembi.

Huyu Ndejembi hata muonekano tu anaonekana atakuwa mtiifu kwa Samia tena ni hivi umri wake ni mdogo (43 years) ni rahisi kwake kupelekeshwa na Samia.

Wanzazibari wana umoja sana, yani kwenye wazanzibari mia ukiwakuta hakuna hata mmoja anayeweza kumpinga samia na serikali yake.

Ila cha ajabu watanganyika tumegawanyika , hatuna umoja , tumekubali kuwa mazezeta kwenye nchi yetu wenyewe.
 
Screenshot_20240308_104351_Gallery.jpg
 
Me nashangaa sana, huku kwetu wamejaa majitu kama Lukasi kesho utasikia wamepewa kazi ya kumsifia aloteuliwa na walivyokuwa manyumbu wote huwa Wana script ilofanana, matahira wengi sana huku Tanganyika...
Watu sampuli ya Lucas ndio wanaoturudisha sana nyuma.
 
Naona kwenye groups za whatsapp na whatsapp statuses wazanzibari wamefurahi mno huyo ndejembi kupendekezwa kuchukua nafasi ya nchimbi.

Wanashangilia sana isiyo kifani na kumsifu samia na kwa kuwaletea ndejembi.

Huyu Ndejembi hata muonekano tu anaonekana atakuwa mtiifu kwa Samia tena ni hivi umri wake ni mdogo (43 years) ni rahisi kwake kupelekeshwa na Samia.

Wanzazibari wana umoja sana, yani kwenye wazanzibari mia ukiwakuta hakuna hata mmoja anayeweza kumpinga samia na serikali yake.

Ila cha ajabu watanganyika tumegawanyika , hatuna umoja , tumekubali kuwa mazezeta kwenye nchi yetu wenyewe.
 
Naona kwenye groups za whatsapp na whatsapp statuses wazanzibari wamefurahi mno huyo ndejembi kupendekezwa kuchukua nafasi ya nchimbi.

Wanashangilia sana isiyo kifani na kumsifu samia na kwa kuwaletea ndejembi.

Huyu Ndejembi hata muonekano tu anaonekana atakuwa mtiifu kwa Samia tena ni hivi umri wake ni mdogo (43 years) ni rahisi kwake kupelekeshwa na Samia.

Wanzazibari wana umoja sana, yani kwenye wazanzibari mia ukiwakuta hakuna hata mmoja anayeweza kumpinga samia na serikali yake.

Ila cha ajabu watanganyika tumegawanyika , hatuna umoja , tumekubali kuwa mazezeta kwenye nchi yetu wenyewe.
Shida watanganyika ni njaa njaa ni ni wanafiki sana.hawana umoja.tutapelekeshwa na wazanzibari mpaka tukome na ndipo akili zetu zitakaa sawa.
 
Naona kwenye groups za whatsapp na whatsapp statuses wazanzibari wamefurahi mno huyo ndejembi kupendekezwa kuchukua nafasi ya nchimbi.

Wanashangilia sana isiyo kifani na kumsifu samia na kwa kuwaletea ndejembi.

Huyu Ndejembi hata muonekano tu anaonekana atakuwa mtiifu kwa Samia tena ni hivi umri wake ni mdogo (43 years) ni rahisi kwake kupelekeshwa na Samia.

Wanzazibari wana umoja sana, yani kwenye wazanzibari mia ukiwakuta hakuna hata mmoja anayeweza kumpinga samia na serikali yake.

Ila cha ajabu watanganyika tumegawanyika , hatuna umoja , tumekubali kuwa mazezeta kwenye nchi yetu wenyewe.
Sote tuungane kumsaidia Mama kutufikisha nchi ya ahadi.
Deo kuwa mtiifu wa kiapochako.
 
Back
Top Bottom