Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,968
- 36,044
Inasikitisha sanasisi tumechagua kuwa machawa anzia kina kibudu, hasira, na wengine wengi wamebaki kuwa chawa tu
🚮Hilo la uchonganishi limeshafeli mkuu, tafuteni jingine.
Watu sampuli ya Lucas ndio wanaoturudisha sana nyuma.Me nashangaa sana, huku kwetu wamejaa majitu kama Lukasi kesho utasikia wamepewa kazi ya kumsifia aloteuliwa na walivyokuwa manyumbu wote huwa Wana script ilofanana, matahira wengi sana huku Tanganyika...
Aisee ni sampuli ya wale watu wanafki wanafki...we subiri tu utaona wanavyokuja na script zao walizozidiscus kwenyeagroup Yao ya chama wazisambaze kama propagandas....Watu sampuli ya Lucas ndio wanaoturudisha sana nyuma.
Naona kwenye groups za whatsapp na whatsapp statuses wazanzibari wamefurahi mno huyo ndejembi kupendekezwa kuchukua nafasi ya nchimbi.
Wanashangilia sana isiyo kifani na kumsifu samia na kwa kuwaletea ndejembi.
Huyu Ndejembi hata muonekano tu anaonekana atakuwa mtiifu kwa Samia tena ni hivi umri wake ni mdogo (43 years) ni rahisi kwake kupelekeshwa na Samia.
Wanzazibari wana umoja sana, yani kwenye wazanzibari mia ukiwakuta hakuna hata mmoja anayeweza kumpinga samia na serikali yake.
Ila cha ajabu watanganyika tumegawanyika , hatuna umoja , tumekubali kuwa mazezeta kwenye nchi yetu wenyewe.
Hatuwataki wazanzibari na mama yao pia hatumtaki.Watanganyika mnataka nini?
Hiyo ni ngumu sana aiseeHatuwataki wazanzibari na mama yao pia hatumtaki.
Ngoja Lisu atoke.Hiyo ni ngumu sana aisee
Shida watanganyika ni njaa njaa ni ni wanafiki sana.hawana umoja.tutapelekeshwa na wazanzibari mpaka tukome na ndipo akili zetu zitakaa sawa.Naona kwenye groups za whatsapp na whatsapp statuses wazanzibari wamefurahi mno huyo ndejembi kupendekezwa kuchukua nafasi ya nchimbi.
Wanashangilia sana isiyo kifani na kumsifu samia na kwa kuwaletea ndejembi.
Huyu Ndejembi hata muonekano tu anaonekana atakuwa mtiifu kwa Samia tena ni hivi umri wake ni mdogo (43 years) ni rahisi kwake kupelekeshwa na Samia.
Wanzazibari wana umoja sana, yani kwenye wazanzibari mia ukiwakuta hakuna hata mmoja anayeweza kumpinga samia na serikali yake.
Ila cha ajabu watanganyika tumegawanyika , hatuna umoja , tumekubali kuwa mazezeta kwenye nchi yetu wenyewe.
Sote tuungane kumsaidia Mama kutufikisha nchi ya ahadi.Naona kwenye groups za whatsapp na whatsapp statuses wazanzibari wamefurahi mno huyo ndejembi kupendekezwa kuchukua nafasi ya nchimbi.