Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Nina maswali machache madogo kuhusu tamko hili...
1.Kwa vile tangazo hili ni kwa watani zake wa Darisalama, jee tamko hili ni la utani tuu kuatania watani zake?!, au ni tamko ni la kweli bali walengwa ndio hao watani zake, Wana Darisalama?!.
2. Jee walengwa ni Wana Darisalama wote au ni wale Wanadarisalama tuu ambao kabila yao wana utani na rais?!.
3. Rais akitoa agizo kwa Wanadarisalama, huwa ana maanisha Wana Darisalama pekee, au Watanzania kwa ujumla?!.
P.