Kwenye hii nchi ukiwa na Akili timamu utakufa na Ugonjwa wa Moyo.

TUKANA UONE

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2018
Posts
2,345
Reaction score
6,970
Wanaoishi kwa raha kwenye hii nchi ni mazezeta,wapumbavu na wajinga wasiofahamu chochote.

Ukitaka uishi bila msongo kwenye hii nchi inakupasa uwe mmoja wapo wa watu wenye utindio wa ubongo,siyo kuishi vizuri tu bali pia utafaidi uzandiki na uzumbukuku wa viongozi na wasio viongozi.

Mfano mzuri wa watu waliojifanya wapumbavu,mazezeta,mazumbukuku,wajinga ili waifaidi nchi ni MWIJAKU na BABA LEVO.

Hii nchi ukijafanya wewe ni mwenye IQ kubwa kama nilivyo mimi,basi tambua utakufa kwa msongo mkubwa.

Sabato njema watu wa MUNGU.
 
🤣🤣🤣🙌
Mwijaku alisema ana Degree 2 ya udsm na mzumbe ila ana Hela kuliko walio ajiriwa sbb ya kuongea
 
Ukiwa na akili kubwa utafahamu maana ya MAISHA, then matendo yako yote yatakuwa na maana kwako na kwa jamii inayokuzunguka.
 
Back
Top Bottom