TUKANA UONE
JF-Expert Member
- Jan 3, 2018
- 2,345
- 6,970
NAKAZIA HAPA KWA HERUFI KUBWAWanaoishi kwa raha kwenye hii nchi ni mazezeta,wapumbavu na wajinga wasiofahamu chochote.
🤣🤣🤣🙌Wanaoishi kwa raha kwenye hii nchi ni mazezeta,wapumbavu na wajinga wasiofahamu chochote.
Ukitaka uishi bila msongo kwenye hii nchi inakupasa uwe mmoja wapo wa watu wenye utindio wa ubongo,siyo kuishi vizuri tu bali pia utafaidi uzandiki na uzumbukuku wa viongozi na wasio viongozi.
Mfano mzuri wa watu waliojifanya wapumbavu,mazezeta,mazumbukuku,wajinga ili waifaidi nchi ni MWIJAKU na BABA LEVO.
Hii nchi ukijafanya wewe ni mwenye IQ kubwa kama nilivyo mimi,basi tambua utakufa kwa msongo mkubwa.
Sabato njema watu wa MUNGU.
[emoji23][emoji23][emoji23] kabisaaa yaan.[emoji28]shida ni kwamba hiwezi jifanya mpuuzi,upuuzi hauigizwi.
So utaendelea kuumia tu,as long as umeumbwa na akili ya kutafakari mambo.
Cha kushangaza hivyo vipindi vya baba Levo na akina Mwijaku ndiyo vina wasikilizaji wengi na wana matangazo kibao ya biashara...Ujinga umepewa kipaumbele kuliko ilivyotarajiwa.