Kwenye hili la Sabaya, Mbowe ni Mwalimu wa Siasa. CCM ikasome kwake

Joined
Jul 19, 2020
Posts
39
Reaction score
128
KWENYE HILI LA SABAYA, CHADEMA INAIFUNZA JAMBO CCM

Anaandika Mbatizaji Mkuu

Unaemwona pichani ni Mdude Nyagali, maarufu kama Mdude Chadema, huyu ndugu alikamatwa na dawa za kulevya kidhibiti kipo na kufikishwa Mahakamani, akafunguliwa mashtaka na hivi karibuni ilikuwa siku ya hukumu yake, hukumu ikaihirishwa.

Ninachotaka kuliongelea hapa sio kwa namna ambavyo alikamatwa na hayo madawa ya kulevya, sikuwepo na sina ushahidi ikiwa ni yake au sio yake, ninachokiangalia hapa ni namna ambavyo Chama chake Cha CHADEMA kupitia viongozi wake wa juu katika chama wanavyompambania ilihali wanajua fika alikamatwa na ushahidi mkononi, ikiwa ni kweli madawa ni yake au lah, wao wamechagua kusimama nae bila kujali chochote.

Ninasema haya nikiwa na picha mbili kichwani kupitia kwa Mdude, huyu kijana alijitolea kukosoa na hata kuvuka mipaka ya ukosoaji na kutoa lugha za kuudhi mitandaoni kwa viongozi wa serikali hata kwa Hayati Dr MAGUFULI, lakini hakuwahi kuachwa na viongozi wake asote mahabusu. Hakutumwa, lakini kwa kuwa alichokifanya alikinasibisha na chama, viongozi wake walimuunga mkono alipopatwa na mkono wa sheria.

Leo akiwa mbele ya hakimu akisubiri hukumu, pembeni yake alikuwemo Mbowe, Mwenyekiti wa Chadema taifa. Yaani kesi ya mwanachama wa Chadema anaenda Mwenyekiti taifa kuisikiliza. Inafikirisha sana. Kuna la kujifunza hapa.

Sio kwamba Mbowe ameenda kwa kuwa Mdude ni kiongozi katika Chama chake huko juu, bali ameenda kwa sababu ni Mwanachama wa Chadema. Maana ya Mwenyekiti kwa tafsiri rahisi ni mfariji wa Chama, "Party comforter". Mbowe ameenda katika mstari sahihi.

Wakati hayo yakijiri, kuna kijana mwenzetu aliyekuwa DC wa Hai, Lengai Ole Sabaya, yuko mahabusu Kisongo siku ya wiki 2 sasa, sijasikia wala kuona kiongozi wa CCM aliyejitokeza walau kumsemea mazuri Sabaya. Watu wote kimya, Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi iko kimya, ile kauli ya kwamba Vijana ni jeuri ya chama tumeizika kabisa.

Ile kauli ya Mwenyekiti wetu, Kheri James kwamba "Vijana tunahitaji busara ili zitusaidie nini katika umri huu" hatuioni ikitumika hapa la kumsemea ndugu yetu, Lengai alisimama pale Hai kutuwakilisha Vijana wa CCM, alisimama pale kupitia CCM. Amekipa heshima chama cha CCM katika Jimbo hilo, ikiwa alikuwa mbaya na muovu kiasi kile tuliwezaje kumtoa Mbowe kwenye hilo Jimbo?, kwanini tumenyamaza katika hili?

Yaani wamebaki wanaomnanga vibaya Sabaya mitandaoni hasa Wapinzani, kila siku mapya yanaletwa, lakini jumuiya zote ziko kimya, Chama kipo kimya. Leo tunanyamaza kwa huyu, kesho kwa mwingine tutanyamaza au tutaanza kukimbiana?

TUKUTANE MAHAKAMANI LEO, NITAKUWEPO

#JusticeForSabaya
#FreeSabaya
 
Acha mapepe. Unadhani mwanachama wa chadema aliyewahi kukamatwa ni huyo tu? Hata wanachama kuna yule ana namba ya mwenyekiti na katibu na kuna yule yeye ameridhika na ideology za chama analipa michango na kakutana na mwenyekiti wake kwenye tv tu.

Mwanachama wa aina ya pili akikamatwa ndugu zake inabidi wapambane kwakua wakilegea ndiyo kapotea huyo na hautasikia hii habari kokote. Hawa ndiyo miongoni mwa kesi 147 zilizofutwa.

Mbowe anajua kutokana na Mdude alivyojiweka kuna watu kama wewe mtafuatilia kujua kama kuna kiongozi yupo so anaenda pale kuua ndege wawili kwa jiwe moja. Kumpa support mwanachama VIP na kuonyesha ni mwenyekiti mfano wa kuigwa.

Kuhusu Sabaya kiukweli sielewi kwanini umeandika SabayaForChange kwani anagombea uongozi gerezani? Pia kama Rais alimvua uDC ili ashtakiwe hata nyinyi UVCCM inabidi mumvue uanachama ili kuonyesha hamsapoti alichowatendea waTanzania na kuitendea Tanzania. Ubaya ni kwamba mwenyekiti wa uvccm naye hana usafi huo.
 
Uchafu aliofanya sabaya waliofa yiwa ni Wana CCM na walalamikaji ni Wana CCM, yupo diwani wa sombetini CCM aliye pigwa na kuibiwa 300,000,uhunu wa sabaya hauna faida na chama ule ni uhalifu na wizi.
 
Sabaya amewaoneo kila mtu regardless ya political affiliation. Zaidi ya tote amekamatwa na wanaccm, anashiikiliwa na wanaccm, anashitakiwa na wanaccm, atahukumiwa na wanaccm na jela ni za CCM. Ni rai yangu Sabaya tumwache avune alichopanda. Waswahiili walipata kusema 'Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu Mkuki'.
 
Sabaya ni muuaji, mbakaji na mfiraji huwezi mfananisha na nyagalu

CCM hatajihusisha kabisha kumuangalia

Kuna Kesi mpya huko Kilimanjaro na bado za utakatishaji pesa
 
Hapa hamtoki, hata mfanyeje, Ukatili aliofanya huyo jambazi wenu hata kwa Mungu umefika kwenye kipimo cha juu kabisa! Na atakuja aongezewe mashtaka tena, Oh I can’t wait to see!
 
Kama alisimama pale kusimamia vijana wa chama na chama basi wote mlistahili kuwa hela hivi sasa.
 
Acha mapepe. Unadhani mwanachama wa chadema aliyewahi kukamatwa ni huyo tu? Hata wanachama kuna yule ana namba ya mwenyekiti na katibu na kuna yule yeye ameridhika na ideology za chama analipa michango na kakutana na mwenyekiti wake kwenye tv tu.
Nimecheka hatari eti sabaya for change.
 
CCM hatuwezi kuingilia mahakama,aliyofanya sabaya tulikuwa kimya.

Nadhani kama vijana wa CCM tungeanza na KHERI JAMES aliyesema atadunda sindano ya sumu kwa wapinzani.
Tukinyamaza means tunamuunga mkono
 
KWENYE HILI LA SABAYA, CHADEMA INAIFUNZA JAMBO CCM

Anaandika Mbatizaji Mkuu

Unaemwona pichani ni Mdude Nyagali, maarufu kama Mdude Chadema, huyu ndugu alikamatwa na dawa za kulevya kidhibiti kipo na kufikishwa Mahakamani, akafunguliwa mashtaka na hivi karibuni ilikuwa siku ya hukumu yake, hukumu ikaihirishwa.

Ninachotaka kuliongelea hapa sio kwa namna ambavyo alikamatwa na hayo madawa ya kulevya, sikuwepo na sina ushahidi ikiwa ni yake au sio yake, ninachokiangalia hapa ni namna ambavyo Chama chake Cha CHADEMA kupitia viongozi wake wa juu katika chama wanavyompambania ilihali wanajua fika alikamatwa na ushahidi mkononi, ikiwa ni kweli madawa ni yake au lah, wao wamechagua kusimama nae bila kujali chochote.

Ninasema haya nikiwa na picha mbili kichwani kupitia kwa Mdude, huyu kijana alijitolea kukosoa na hata kuvuka mipaka ya ukosoaji na kutoa lugha za kuudhi mitandaoni kwa viongozi wa serikali hata kwa Hayati Dr MAGUFULI, lakini hakuwahi kuachwa na viongozi wake asote mahabusu. Hakutumwa, lakini kwa kuwa alichokifanya alikinasibisha na chama, viongozi wake walimuunga mkono alipopatwa na mkono wa sheria.

Leo akiwa mbele ya hakimu akisubiri hukumu, pembeni yake alikuwemo Mbowe, Mwenyekiti wa Chadema taifa. Yaani kesi ya mwanachama wa Chadema anaenda Mwenyekiti taifa kuisikiliza. Inafikirisha sana. Kuna la kujifunza hapa.

Sio kwamba Mbowe ameenda kwa kuwa Mdude ni kiongozi katika Chama chake huko juu, bali ameenda kwa sababu ni Mwanachama wa Chadema. Maana ya Mwenyekiti kwa tafsiri rahisi ni mfariji wa Chama, "Party comforter". Mbowe ameenda katika mstari sahihi.

Wakati hayo yakijiri, kuna kijana mwenzetu aliyekuwa DC wa Hai, Lengai Ole Sabaya, yuko mahabusu Kisongo siku ya wiki 2 sasa, sijasikia wala kuona kiongozi wa CCM aliyejitokeza walau kumsemea mazuri Sabaya. Watu wote kimya, Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi iko kimya, ile kauli ya kwamba Vijana ni jeuri ya chama tumeizika kabisa.

Ile kauli ya Mwenyekiti wetu, Kheri James kwamba "Vijana tunahitaji busara ili zitusaidie nini katika umri huu" hatuioni ikitumika hapa la kumsemea ndugu yetu, Lengai alisimama pale Hai kutuwakilisha Vijana wa CCM, alisimama pale kupitia CCM. Amekipa heshima chama cha CCM katika Jimbo hilo, ikiwa alikuwa mbaya na muovu kiasi kile tuliwezaje kumtoa Mbowe kwenye hilo Jimbo?, kwanini tumenyamaza katika hili?

Yaani wamebaki wanaomnanga vibaya Sabaya mitandaoni hasa Wapinzani, kila siku mapya yanaletwa, lakini jumuiya zote ziko kimya, Chama kipo kimya. Leo tunanyamaza kwa huyu, kesho kwa mwingine tutanyamaza au tutaanza kukimbiana?

TUKUTANE MAHAKAMANI LEO, NITAKUWEPO

#JusticeForSabaya
#FreeSabaya
ANDIKENI NGONJERA ZOOOTE , ILA MTAMBUE KAZI YA SABAYA ILIYOTUKUKA, ILIKUA NI KUHAKIKISHA MWAMBA DJ ANAKUWA WAKWANZA KUGARAGAZWA ASUBUHIII. HAYO MENGINE NI MAPAMBIO TU. NA YATAISHA YENYEWE.
 
Wanaomnanga Sabaya mitandaoni na uraiani siyo wapinzani pekee hata wana ccm wenzio wapo kibao. Kuna jamaa kule twitter amesema siku kikosi kazi wameenda kumkamata walikutwa ke 6 na me 5 jamaa alikuwa anajisevia wawili.
 
Kama hujipendi nenda mahakamani kaonyeshe wazi kuwa uko upande wa sabaya yatakayokukuta utamuhadithia mkeo kama umeoa kwani unafikiri watu ni wagonjwa wa akili hawaelewi kuwa kuna kusimama pamoja kwenye matatizo lakini hili la sabaya ni maji yamezidi unga nani anataka kujumuishwa kwenye miaka zaidi 60 jela
 
ANDIKENI NGONJERA ZOOOTE , ILA MTAMBUE KAZI YA SABAYA ILIYOTUKUKA, ILIKUA NI KUHAKIKISHA MWAMBA DJ ANAKUWA WAKWANZA KUGARAGAZWA ASUBUHIII. HAYO MENGINE NI MAPAMBIO TU. NA YATAISHA YENYEWE.
Ndiyo haone faida ya kumtumikia shetani ilivyo.
 
KWENYE HILI LA SABAYA, CHADEMA INAIFUNZA JAMBO CCM

Anaandika Mbatizaji Mkuu

Unaemwona pichani ni Mdude Nyagali, maarufu kama Mdude Chadema, huyu ndugu alikamatwa na dawa za kulevya kidhibiti kipo na kufikishwa Mahakamani, akafunguliwa mashtaka na hivi karibuni ilikuwa siku ya hukumu yake, hukumu ikaihirishwa.

Ninachotaka kuliongelea hapa sio kwa namna ambavyo alikamatwa na hayo madawa ya kulevya, sikuwepo na sina ushahidi ikiwa ni yake au sio yake, ninachokiangalia hapa ni namna ambavyo Chama chake Cha CHADEMA kupitia viongozi wake wa juu katika chama wanavyompambania ilihali wanajua fika alikamatwa na ushahidi mkononi, ikiwa ni kweli madawa ni yake au lah, wao wamechagua kusimama nae bila kujali chochote.

Ninasema haya nikiwa na picha mbili kichwani kupitia kwa Mdude, huyu kijana alijitolea kukosoa na hata kuvuka mipaka ya ukosoaji na kutoa lugha za kuudhi mitandaoni kwa viongozi wa serikali hata kwa Hayati Dr MAGUFULI, lakini hakuwahi kuachwa na viongozi wake asote mahabusu. Hakutumwa, lakini kwa kuwa alichokifanya alikinasibisha na chama, viongozi wake walimuunga mkono alipopatwa na mkono wa sheria.

Leo akiwa mbele ya hakimu akisubiri hukumu, pembeni yake alikuwemo Mbowe, Mwenyekiti wa Chadema taifa. Yaani kesi ya mwanachama wa Chadema anaenda Mwenyekiti taifa kuisikiliza. Inafikirisha sana. Kuna la kujifunza hapa.

Sio kwamba Mbowe ameenda kwa kuwa Mdude ni kiongozi katika Chama chake huko juu, bali ameenda kwa sababu ni Mwanachama wa Chadema. Maana ya Mwenyekiti kwa tafsiri rahisi ni mfariji wa Chama, "Party comforter". Mbowe ameenda katika mstari sahihi.

Wakati hayo yakijiri, kuna kijana mwenzetu aliyekuwa DC wa Hai, Lengai Ole Sabaya, yuko mahabusu Kisongo siku ya wiki 2 sasa, sijasikia wala kuona kiongozi wa CCM aliyejitokeza walau kumsemea mazuri Sabaya. Watu wote kimya, Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi iko kimya, ile kauli ya kwamba Vijana ni jeuri ya chama tumeizika kabisa.

Ile kauli ya Mwenyekiti wetu, Kheri James kwamba "Vijana tunahitaji busara ili zitusaidie nini katika umri huu" hatuioni ikitumika hapa la kumsemea ndugu yetu, Lengai alisimama pale Hai kutuwakilisha Vijana wa CCM, alisimama pale kupitia CCM. Amekipa heshima chama cha CCM katika Jimbo hilo, ikiwa alikuwa mbaya na muovu kiasi kile tuliwezaje kumtoa Mbowe kwenye hilo Jimbo?, kwanini tumenyamaza katika hili?

Yaani wamebaki wanaomnanga vibaya Sabaya mitandaoni hasa Wapinzani, kila siku mapya yanaletwa, lakini jumuiya zote ziko kimya, Chama kipo kimya. Leo tunanyamaza kwa huyu, kesho kwa mwingine tutanyamaza au tutaanza kukimbiana?

TUKUTANE MAHAKAMANI LEO, NITAKUWEPO

#JusticeForSabaya
#FreeSabaya
Sabaya ni Jambazi kwa ushahidi wa waziwazi wa camera,Mdude ni kesi ya kupanga kati ya CCM na Policeccm
 
Back
Top Bottom