Parabolic
JF-Expert Member
- Dec 3, 2013
- 2,580
- 1,987
Unataka kusema nini sasa? Unaita wenzako vilaza, wewe maoni yako yako wapi?Rudi hapa mwakani muda na wakati kama huu halafu tupige hesabu wote, kwa maana watu wengine ni wagumu kuelewa na huchukuwa muda kuelewa mambo marahisi sana, kwa kifupi hakuna cha maana ulichoandika zaidi ya kurudia yale yale vi.laza wenzako waliokwisha andika na sijui hata kwa nini unaanzisha uzi mwingine wkt kuna zaidi ya 100 na zinaongelea jambo hilo hilo na hakuna jipya lolote linaloelezwa!