Kwenye hili la VAT Kwenye Utalii Raisi Magufuli Kakosea Sana kwa Sababu Zifuatazo:

Unataka kusema nini sasa? Unaita wenzako vilaza, wewe maoni yako yako wapi?
 
Mtoa post poyoyo kabisa unadhani hayoyote raisi hakuyaona, haya tangu utalii uanze mpak sasa bila hiyo vat Tanzania kama nchi imefaidikaje zaidi ya kuzidi kuwa masikini na watu wachache kuneemeka, Magufuli ameona mbali juu ya hiyo Vat na watalii watakuja tu hakuna namna nyingine
 
Usipotoshe juu ya ulichoandika. Kumsema Rais kwamba 'kakosea sana', hilo si tatizo hata kidogo. Tatizo ni kumtukana Rais kwamba ana 'ujinga uliovuka mipaka katika fani ya biashara'. Huo ni ulimbukeni na ukosefu wa adabu uliopitiliza.

Unajua wewe ndio mjinga kupita mipaka inayovumilika katika kuwa na akili ya kawaida ya kuelewa makala. Huna hata uwezo wa kuelewa vitu vidogo kwenye makala. Unajua kitu kinaitwa maswali ya comprehension? Au ulisoma fasihi?

Ni sababu ipi inayokufanya uhusianishe hiyo sentensi yangu ya "ujinga uliovuka mipaka katika fani ya biashara" na Raisi Magufuli, hadi uamue sentensi hiyo imelenga kumtukana raisi?

Unajua maana ya generic statement? Hebu nenda shule ukaelimike acha kupoteza muda JF wakati huna uwezo wa kusoma article na kuelewa mambo. Unaishia kukurupuka na kutoa accusations zisizo na pua wala mdomo. Acha mambo ya kuleta ukada wa kijiweni humu JF.
 

Kama ni upoyoyo unao wewe unayefikiria kwamba katika huduma za utalii njia ya kuifanya Tanzania ifadikie ni kuweka VAT.

Unajua sipendi kubishana kitu na mtu ambaye ni mjinga katika fani ya kitu mnayobishana, kwa sababu na mimi nitaonekana mjinga.

Labda ubaya wa JF ni kwamba kila member ana uwezo wa kujiona ana PhD katika fani yeyote ile inayojadiliwa, na kutoa maoni yake yasiyo na mkia wala kichwa akidhani ni pointi tupu, kama ulivyofanya hapa.
 
Na mimi namuita kwa sauti ya kikamanda
 
Yani we unaacha kututetea VAT kwenye unga ambao hata Baba yako ana ununua unakomaa na watalii ambao hata inawezekana Baba yako hatakanyaga huko. Halafu VAT ni lazima na ipo kimataifa hata hao watalii wanajua ina lipwaga we labda utetee kama kiingilio nikikubwa kipunguzwe ila VAT ni lazima. Kumbe mlisahaulika eeeh.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…