Kwenye hili Majizo umezingua

Franky Samuel

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2018
Posts
5,195
Reaction score
13,785
Majizzo katia sana aibu, Kaweka Hisia kwenye Professional.

Aliulizwa swali kwamba ku trend YouTube, Instagram kunakufanya kuwa msanii mkubwa? Jibu lake alikua sahihi kwamba sio hivyo as Msanii kuwa mkubwa kuna features nyingi na sio kwa specific angle.

Alipokuja kuboronga ni kuonesha kwamba Digital bado si chochote kwa Bongo kuliko Radios, Tv's na other Media Channels. Alafu pumba zaidi ni anasema kabisa eti hata makampuni makubwa hayajaacha kufanya matangazo kwenye Mass Channels (Communication).

Yaani Majizzo anachojua, Ukisema Mass Channels (Communication) anajua ni Radios, Tv's na Magazeti, Wakati Intaneti kwa ujumla inaingia kwenye Mass Communication.

Tanzania kwa mujibu wa Data za mwaka jana ina watumiaji wa intaneti Milioni 23.14, Idadi ya watu kwa nchi nzima ni zaidi ya watu Milioni 60+. Point yake ni kweli kwamba utumiaji wa Intaneti kwa Bongo bado ni changamoto na still bado watu wengi hawajawa connected na hata wakiwa connected hawapati network nzuri.

Yes, Lakini hiyo sio sababu ya kubeza na sababu ipo wazi kabisa, Kwa sasa Digital ndiyo means inayowaingizia pesa wasanii vizuri na kwa uwazi unaoeleweka kuliko mfumo wa zamani ambao ilikua ni kusubiri Matamasha na mauzo ya albums ambako walikua wanapigwa.

Hali ambayo pia ikatengeneza kuwasujudia baadhi ya watu sababu tu wana matamasha, Yeye mwenyewe tu Majizzo anajua vyema kiasi anachowapa wasanii kwa shoo zake ni kidogo mnooo.

Mnakumbuka Chid Benz anasema alipewa Laki Tatu? Sasa hiyo pesa ni thamani ya Chid? Lakini kama Chid angewekeza vyema kwenye Digital angekua na uhakika wa kula pesa kama hiyo tena endelevu sio mpaka kusubiri shoo.

Mimi nachoona kila mtu ashinde tu mechi zake, Mambo ya kubeza hivi na hivi haipendezi tena kwa mtu kama yeye ambae reality anaijua vyema sana ndani.

Nje kuna wasanii ambao wanapata airtime nzuri kwenye media lakini Digital hawafanyi vyema, Na wengine wanafanya vyema Digital lakini kwenye hizo Media hawapati airtime.

Mfano kipindi cha nyuma, Tamaduni Muzik content zao zilikua zinatembea sana kwenye digital na mitaani lakini kwenye media huwasikii hata kidogo na ni wachache waliofanikiwa kupata atleast airtime kama akina Nikki, Stereo
 
Tusha kuzoea endelea kupata tabu,ila leo naona hujatukana au tarehe hazijafika (mwezi mchanga).
🀣🀣🀣🀣🀣🀣

Naona mungu wenu akiguswa mnatuka ruka kama mmekanyaga moto.

Leo mko na Majizzo.
 
Mtaongea saaana lakini ukweli ni kwamba ku-trend YouTube siyo kipimo cha ukubwa wa msanii.

Trending inategemeana na tukio husika na promotion iliyofanyika kutoka kwa mtu yeyote
Lakini hapana kwa asilimia flani kutrend kwene hizi digital platforms zinaweza kuwa kielelezo cha ukubwa wako...mfano mtu Kama diamond kinachomfanya atrend au kutazamwa zaidi ni kwasababu yeye ni mkubwa anawafuasi wengi hivo lazima kazi zake zitatazamwa zaidi
 
Huyo hakuelewi ni ant-wcb/diamond,zaidi subiri matusi.
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣

Naona mungu wenu akiguswa mnatuka ruka kama mmekanyaga moto.

Leo mko na Majizzo.
Wewe mungu wako si Clouds na Kiba.Majizo neno lake si sheria,kaongea kama unvyo ongea wewe uzuri haumpunguzii kitu Diamond.
😎😎😎😎🀠🀠🀠
 
Wewe mungu wako si Clouds na Kiba.Majizo neno lake si sheria,kaongea kama unvyo ongea wewe uzuri haumpunguzii kitu Diamond.
Sasa nakuwaje mshabiki wa Clouds na Majizzo ( EFM ) ??

Una akili timamu kweli wewe??
 
Basi tuiweke pembeni YouTube na mawazo ya majizo, je ni vigezo gani vinatumika hapa kwetu kuwatambua wasanii wakubwa.
 
Maelezo mengi ila pumbu tupu,
 
Sasa nakuwaje mshabiki wa Clouds na Majizzo ( EFM ) ??

Una akili timamu kweli wewe??
Nani ka kwambia mshabiki wa majizo,always upo -ve kwa WCB /Diamond ,Majizo kauli yake ni -ve kwa Diamond.

So if a=-x
b=-x
Then
a=b


Tushazoea yaani umebakisha matusi tu.
 
Ukitaka kujua tafsiri ya anacho sema Majizzo waulize wasanii kuhusu views na idadi ya wahudhuriaji wa show.

Lakini pia tusichukie na ku hahaha watu wanapo toa maoni tofauti na sisi tulivyo taka kusikia!
 
Nani ka kwambia mshabiki wa majizo,always upo -ve kwa WCB /Diamond ,Majizo kauli yake ni -ve kwa Diamond.

So if a=-x
b=-x...
Always niko negative, sasa what's wrong with me being always negative?

Wewe mbona uko akways msukule??

Una akili timamu kweli wewe???
 
Matajiri huwa hawachukiani ila hawa shilingionea dah wanachukiana utadhani JIWE & upinzani,

Kwani bilionea amesemaje yeye Platinum kwa mwenzake
 
Always niko negative, sasa what's wrong with me being always negative??

Wewe mbona uko akways msukule??

Una akili timamu kweli wewe???
😎😎😎😎😎😎😎
Mwezi mchanga naye anamjua mwenye akili timamu.
 
😎😎😎😎😎😎😎
Mwezi mchanga naye anamjua mwenye akili timamu.
Emoji kama Juma Lokole kabisa aiseee 🀣🀣🀣🀣🀣
 
Emoji kama Juma Lokole kabisa aiseee 🀣🀣🀣🀣🀣
Ndio nani huyo?

😎😎😎😎😎😎😎🀠🀠🀠
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…