Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,195
- 13,785
Majizzo katia sana aibu, Kaweka Hisia kwenye Professional.
Aliulizwa swali kwamba ku trend YouTube, Instagram kunakufanya kuwa msanii mkubwa? Jibu lake alikua sahihi kwamba sio hivyo as Msanii kuwa mkubwa kuna features nyingi na sio kwa specific angle.
Alipokuja kuboronga ni kuonesha kwamba Digital bado si chochote kwa Bongo kuliko Radios, Tv's na other Media Channels. Alafu pumba zaidi ni anasema kabisa eti hata makampuni makubwa hayajaacha kufanya matangazo kwenye Mass Channels (Communication).
Yaani Majizzo anachojua, Ukisema Mass Channels (Communication) anajua ni Radios, Tv's na Magazeti, Wakati Intaneti kwa ujumla inaingia kwenye Mass Communication.
Tanzania kwa mujibu wa Data za mwaka jana ina watumiaji wa intaneti Milioni 23.14, Idadi ya watu kwa nchi nzima ni zaidi ya watu Milioni 60+. Point yake ni kweli kwamba utumiaji wa Intaneti kwa Bongo bado ni changamoto na still bado watu wengi hawajawa connected na hata wakiwa connected hawapati network nzuri.
Yes, Lakini hiyo sio sababu ya kubeza na sababu ipo wazi kabisa, Kwa sasa Digital ndiyo means inayowaingizia pesa wasanii vizuri na kwa uwazi unaoeleweka kuliko mfumo wa zamani ambao ilikua ni kusubiri Matamasha na mauzo ya albums ambako walikua wanapigwa.
Hali ambayo pia ikatengeneza kuwasujudia baadhi ya watu sababu tu wana matamasha, Yeye mwenyewe tu Majizzo anajua vyema kiasi anachowapa wasanii kwa shoo zake ni kidogo mnooo.
Mnakumbuka Chid Benz anasema alipewa Laki Tatu? Sasa hiyo pesa ni thamani ya Chid? Lakini kama Chid angewekeza vyema kwenye Digital angekua na uhakika wa kula pesa kama hiyo tena endelevu sio mpaka kusubiri shoo.
Mimi nachoona kila mtu ashinde tu mechi zake, Mambo ya kubeza hivi na hivi haipendezi tena kwa mtu kama yeye ambae reality anaijua vyema sana ndani.
Nje kuna wasanii ambao wanapata airtime nzuri kwenye media lakini Digital hawafanyi vyema, Na wengine wanafanya vyema Digital lakini kwenye hizo Media hawapati airtime.
Mfano kipindi cha nyuma, Tamaduni Muzik content zao zilikua zinatembea sana kwenye digital na mitaani lakini kwenye media huwasikii hata kidogo na ni wachache waliofanikiwa kupata atleast airtime kama akina Nikki, Stereo