Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,891
Sidhani kama hili nalo linahitaji mabishano!Ukweli ni kwamba kwenye ndoa au mahusiano,mwanamke ndie muamuzi kwamba hiyo ndoa au mahusiano yaendelee ama la,akichoka MWANAUME lazima utoke nduki maana vibweka vyao havivumiliki.Sorce,METHALI 14:1"Mwanamke mwenye hekima hujenga nyumba yake,lakini alie mpumbavu huibomoa kwa mikono yake mwenyewe"na pia kuna mahali pameandikwa"ni heri kukaa juu ya paa la nyumba kuliko kuishi ndani ya nyumba na mwanamke mgomvi na mlalamishi"!Maandiko haya yanaonesha namna ambavyo mwanamke ana nguvu linapokuja suala la kusitisha ndoa/mahusiano!Hapa lazima wanaume tufyate mkia!