Dogoli kinyamkela
JF-Expert Member
- Nov 21, 2024
- 2,858
- 5,123
Aloo acha kulonga ufula we mwana😂😂Sio bora kufanana na baba yake kuliko muda wote huo aliokaa halafu anakuja kuwa chawa kumsifia mama ambaye sio wake…!!
😀😀Ubinadamu kazi sanaSi bora kufanana na baba yake kuliko muda wote huo aliokaa halafu anakuja kuwa chawa kumsifia mama ambaye sio wake…!!
Sawa nao wanafaidi!Miezi 9 tumboni mwa mama , saa 12 za uchungu, kukosa usingizi usiku zaidi ya mara 100, kuongezeka zaidi ya kilo 10 , afuuuu anafanana na baba yake.Mungu aendelee kuwa upande wenu wanawake.. 🙏
Muwe na mchana mwema.. ❤️🙏View attachment 3376707
You made my day 😂😂Si bora kufanana na baba yake kuliko muda wote huo aliokaa halafu anakuja kuwa chawa kumsifia mama ambaye sio wake…!!