Kwenye ishu ya jezi za Taifa stars kwa ilipofikia busara itumike kuliko kutupiana maneno mtandaoni

Kwenye ishu ya jezi za Taifa stars kwa ilipofikia busara itumike kuliko kutupiana maneno mtandaoni

Dennis Robert Shughuru

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2024
Posts
5,559
Reaction score
8,747
Waziri wa michezo makonda alisema watafytua jezi ambazo zitaenda kushindana na za sandalanda sasa hii kauli sio ya kiungwana na kistaarabu ukizingatia sandaland ana mkataba wa kutoa jezi za timu ya taifa mambo ya alishindaje tender hayana uzito sana sababu mkataba aliopewa ni halali

Mimi binafsi nakiri zile jezi hazivutii huu ni ukweli lakin itumike busara kumaliza huu mgogoro uliopo kwa kufanya mambo yafuatayo
  • Serikali ingalie namna bora ya kuvunja mkataba na sandaland sababu ameshaingia gharama za kutoa jezi ambazo hata leo Taifa stars watazivaa na sio ajabu kuvunja mkataba
  • Sio sawa kutupiana maneno mtandaoni na mtu ambaye tayari umeshaingia naye mkataba
  • Sio sawa kudhalilishana mitandaoni
 
Back
Top Bottom