Kwenye jeshi letu upande wa JKT naona dalili za uchawa umeshafika na mambo mnayofanya

Kwenye jeshi letu upande wa JKT naona dalili za uchawa umeshafika na mambo mnayofanya

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Leo nimeona JKT wamezindua ZOO kwa ajili ya utalii na kuanza kusifia royal tour raisi kwa kufikiria haraka tu unaona kabisa watu wanafanya kufurahisha muhisika.

Mimi nilitegemea kuona jeshi likizindua viwanda vya teknolojia,vilimo vipya pamoja na zana kubwa.

Yani leo mfano irani jeshi lao watangaze kwenye media wametengeneza mabembea kwa ajili ya utaliii.

View: https://www.youtube.com/watch?v=aHKXB1m6AO0
 
Yaan hata kitu cha ukweli mtu asiseme kisa ataonekana chawa? Nyinyi upinzan sijui hata mukoje yaan, magufuli kaacha SGR samia kakamilisha now watu wanafurahia hapo mtu ukisema utaitwa chawa, hv nani aliewadanganya kuwa matusi na kuizodoa serikal hata kwa mambo yanayoonekan ndio kutawashawishi nyinyi kuaminiwa na wananchi?
 
  • Thanks
Reactions: Tui

Sijui kama akili unayo hata kwenye makalio basi.Tafuta nchi zilizopiga hatua ukaona haya kustaajabu ya farao
 
Sijui kama akili unayo hata kwenye makalio basi.Tafuta nchi zilizopiga hatua ukaona haya kustaajabu ya farao
Najua hamna hoja ispokuwa matusi, na kamwe hamuwez shika dola hii et kisa munajua kutukana sana, na hilo waambie wajukuu zako hadi vilembwe
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Leo nimeona JKT wamezindua ZOO kwa ajili ya utalii na kuanza kusifia royal tour raisi kwa kufikiria haraka tu unaona kabisa watu wanafanya kufurahisha muhisika.

Mimi nilitegemea kuona jeshi likizindua viwanda vya teknolojia,vilimo vipya pamoja na zana kubwa.

Yani leo mfano irani jeshi lao watangaze kwenye media wametengeneza mabembea kwa ajili ya utaliii.

View: https://www.youtube.com/watch?v=aHKXB1m6AO0

Hivi huyo mwenye tumbo ka pipa naye ni ASKARI??? Hii nchi ina vituko hiii? Jitu limejaza mavi kwenye utumbo, halina nidhamu ya mazoezi, ni mlafi wa kula kula na kapata mweli bwete bwete fukuzilia mbali hizo taka taka Jeshini.
 
Nili uzunika mjeshi mmoja na nyota zake mbili kwenye kofia wakati wa kufunga mafunzo ya kijeshi aka sema kwa Sauti KAZI IENDELEEE
 
Hivi huyo mwenye tumbo ka pipa naye ni ASKARI??? Hii nchi ina vituko hiii? Jitu limejaza mavi kwenye utumbo, halina nidhamu ya mazoezi, ni mlafi wa kula kula na kapata mwele bwete bwete fukuzilia mbali hizo taka taka Jeshini.
Kuna mlafi mwingine yupo rumande ana tumbo zaidi ya pipa.Ushauri wako ungeanza kwa huyo.Au huyo amejaza nini kwenye utumbo?Huyo mlafi wenu ana nidhamu ya mazoezi?Kapata mwele bwete ndio maana kafutuka?
 
Hujasikia wengine machawa wanajiita "wajukuu wa mama? " 🤣
 
Huyu mkuu WA jkt sijui ni Mhaya na miwani yake,,,,

Yaan sijui anataka kuwa cdf ?? Maana
 
Back
Top Bottom