Sijui kama akili unayo hata kwenye makalio basi.Tafuta nchi zilizopiga hatua ukaona haya kustaajabu ya faraoYaan hata kitu cha ukweli mtu asiseme kisa ataonekana chawa? Nyinyi upinzan sijui hata mukoje yaan, magufuli kaacha SGR samia kakamilisha now watu wanafurahia hapo mtu ukisema utaitwa chawa, hv nani aliewadanganya kuwa matusi na kuizodoa serikal hata kwa mambo yanayoonekan ndio kutawashawishi nyinyi kuaminiwa na wananchi?
Najua hamna hoja ispokuwa matusi, na kamwe hamuwez shika dola hii et kisa munajua kutukana sana, na hilo waambie wajukuu zako hadi vilembweSijui kama akili unayo hata kwenye makalio basi.Tafuta nchi zilizopiga hatua ukaona haya kustaajabu ya farao
Hivi huyo mwenye tumbo ka pipa naye ni ASKARI??? Hii nchi ina vituko hiii? Jitu limejaza mavi kwenye utumbo, halina nidhamu ya mazoezi, ni mlafi wa kula kula na kapata mweli bwete bwete fukuzilia mbali hizo taka taka Jeshini.Leo nimeona JKT wamezindua ZOO kwa ajili ya utalii na kuanza kusifia royal tour raisi kwa kufikiria haraka tu unaona kabisa watu wanafanya kufurahisha muhisika.
Mimi nilitegemea kuona jeshi likizindua viwanda vya teknolojia,vilimo vipya pamoja na zana kubwa.
Yani leo mfano irani jeshi lao watangaze kwenye media wametengeneza mabembea kwa ajili ya utaliii.
View: https://www.youtube.com/watch?v=aHKXB1m6AO0
Kuna mlafi mwingine yupo rumande ana tumbo zaidi ya pipa.Ushauri wako ungeanza kwa huyo.Au huyo amejaza nini kwenye utumbo?Huyo mlafi wenu ana nidhamu ya mazoezi?Kapata mwele bwete ndio maana kafutuka?Hivi huyo mwenye tumbo ka pipa naye ni ASKARI??? Hii nchi ina vituko hiii? Jitu limejaza mavi kwenye utumbo, halina nidhamu ya mazoezi, ni mlafi wa kula kula na kapata mwele bwete bwete fukuzilia mbali hizo taka taka Jeshini.