Ndo maana wanakula fegi Sana halafu wakali wakali hao muda woteIla wachina wana stress sana. Sijajua kwann ila wengi wao ukikutana muda mwingi utadhani single mother mwenye marejesho sehemu 10,anadaiwa songesha,ana UTI sugu,amesuka rasta ambazo muda wa kufumua umefika na hana pesa ya kusukia mpya,anadaiwa kodi na amegombana na shost yake wa karibu anapretend hajali.
Wanakuwaga na mawenge ya ajabu.
Yaani bila ubishi ni kuwa wachina wewe unawafahamu vema 😂😂😂Ndo maana wanakula fegi Sana halafu wakali wakali hao muda wote
Me nafanya nao kazi Sana maana Natembea na watu wakuwafanyia EIA au geophysical survey sasa tukiendaga kwenye migodi Yao aisee jamaa ndani ya dakika 10 anavuta sigara nne yaani kwa li saa uhakika anavuta sigara zaidi ya 20 halafu hawana smile kabisa Wana stress Sana na nimegundua huwa hawanaga mambo ya michepuko michepuko ya wachina wenzao yaani akiwa na mke ndo huyohuyo mchepuko wa kichina anakuwa Hana labda aje kupata mweusi.akiwa anaongea na mkewe huko china kwenye online aisee hata lugha ya mahaba hawana mke anakemewa kama mtoto..na mke na ye inaonyesha anamjibu kwa ukali Ile ileYaani bila ubishi ni kuwa wachina wewe unawafahamu vema 😂😂😂
Wale jamaa wanakula fegi sasa itokee mpo huko nje ya mji halafu fegi ziishe aisee. Unaweza shangaa jamaa anatoka jasho ana sweat kama mtu aliyebanwa na tumbo na muda wowote anaweza shusha mzigo.
Halafu ile kufoka foka na kubwatuka bwatuka utadhani mpo jeshini. Nimefanya nao kazi mara mbili aisee mara ya mwisho nilijiapiza kuwa hata iweje hawa jamaa siwezi fanya nao kazi tena maishani.
Ilibakia kidogo nizichape na m'moja huyo amekuja bongo mgeni halafu hana elimu ila mjuaji balaa anataka kunipanda kichwani. Namuelekeza kwa unyenyekevu akaniona fala akawa anapenda ile kuwaka as if anaongea na mtumwa.
Nilimbadilikia hiyo siku naacha kazi, mataa ya mbuyuni pale bagamoyo road. Nilimpandishia mashetani nilipiga ngumi kadhaa usukani na dashboard huku natukana kimarekani.
Msenge mwanzo alijaribu kushinda kwa kuniwashia moto akijua nitashuka kubabake nilienda nae sawa nikamzidi akawa mpole. Nikashuka nibamiza mlango nikaondoka na bodaboda nikamuacha.
Alinikera sana ile siku,maana nilishamvumilia na kumwambia mara kadhaa kuwa akiongea namsikia haina haja ya kufoka au kuwa mkali. Ile kesi ikafika ofisini nikaonyesha sms zote nimekuwa nikimuelekeza kuhusu hiyo tabia kwenye "WeChat".
Alikuwa mpole huyo,nikachukua maokoto nikasepa zangu kuanza maisha mengine. Aisee wale jamaa kichaa chao kinaambukiza ukikaa nae hivi na wewe kichwa chako kinaanza kwenda speed kwa kupelekeshana. Sio nzuri kwa afya kabisa.
Dah wewe unawajua mzee. Yaani mule mule. Jamaa akiwa anaongea na ndugu zake na mkewe ukiwasikiliza utadhani wanagombana kumbe wanaelekezana jambo.Me nafanya nao kazi Sana maana Natembea na watu wakuwafanyia EIA au geophysical survey sasa tukiendaga kwenye migodi Yao aisee jamaa ndani ya dakika 10 anavuta sigara nne yaani kwa li saa uhakika anavuta sigara zaidi ya 20 halafu hawana smile kabisa Wana stress Sana na nimegundua huwa hawanaga mambo ya michepuko michepuko ya wachina wenzao yaani akiwa na mke ndo huyohuyo mchepuko wa kichina anakuwa Hana labda aje kupata mweusi.akiwa anaongea na mkewe huko china kwenye online aisee hata lugha ya mahaba hawana mke anakemewa kama mtoto..na mke na ye inaonyesha anamjibu kwa ukali Ile ile
Zile sio hasira, kuna wachina wa majimbo fulani huongea, usipokua makini unaweza kudhani anakufokea kumbe walaaaaaYaani bila ubishi ni kuwa wachina wewe unawafahamu vema 😂😂😂