Kwenye Katiba Mpya tulikatae neno "uchochezi"

Kwenye Katiba Mpya tulikatae neno "uchochezi"

Hismastersvoice

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2013
Posts
21,741
Reaction score
26,735
"Uchochezi", hili ni neno pana sana ambalo hutumika kwenye nchi za kidikiteta, madhumuni yake ni kuwabana wapenda haki ili wananchi waweze kukandamizwa kwa kunyimwa haki zao! Kinachotokea ni kuwa ukitaka nchi iwe na katiba mpya mtawala haitaki hivyo unayeitaka atakuita mchochezi kisa, ni kuwaamsha wanaonyimwa haki!

Tatizo kubwa ni kuwa anayekutuhumu( mtawala) anasikilizwa zaidi kuliko uliyetungiwa kosa la uchochezi japo halipo ni la kufikirika tu, ili tuwe na katiba yenye haki pasipo na shaka hili neno " uchochezi" tulikatae kwenye katiba yetu.

Karibuni.
 
Hilp neno uchochezi ambalo mara nyingi hutumika na tawala dikteta, ni kama lina laana. Na hakika utawala unalitumia neno hilo dhidi ya wanaotafuta haki au dhidi ya wale anaotaka kuwagandamiza, amelaanika yeye na uzao wake.

Neno hilo la uchochezi lilitumika pia na Wayahudi wa kale kwenye mashtaka ya kubumba dhidi ya Kristo Masiha. Kwenye mashtaka yao ya kutengeneza dhidi ya Kristo, Pilato alipowauliza wanamleta Yesu kwake kwa mashtaka gani, walijobu kuwa anawahamasisha na kuwachochea watu wasimpe Kaizari kodi, akijiita yeye mwenyewe ni Kristo Mfalme

Kufutwa neno hilo kwenye sheria zetu, ni kutafuta upatanisho na baraka katika nchi. Lakini siamini tawala hizi zilizojaa uovu kama zinaweza kufanya hivyo. Maana ni sheria hizo ndizo wanazotumia kufunga midomo ya watu. Siku hizi wameongeza mengine mawili, uhujumu uchumi na ugaidi.
 
"Uchochezi", hili ni neno pana sana ambalo hutumika kwenye nchi za kidikiteta, madhumuni yake ni kuwabana wapenda haki ili wananchi waweze kukandamizwa kwa kunyimwa haki zao! Kinachotokea ni kuwa ukitaka nchi iwe na katiba mpya mtawala haitaki hivyo unayeitaka atakuita mchochezi kisa, ni kuwaamsha wanaonyimwa haki! Tatizo kubwa ni kuwa anayekutuhumu( mtawala) anasikilizwa zaidi kuliko uliyetungiwa kosa la uchochezi japo halipo ni la kufikirika tu, ili tuwe na katiba yenye haki pasipo na shaka hili neno " uchochezi" tulikatae kwenye katiba yetu.

Karibuni.
Uko sahihi, washenzi , waonevu, wauaji,madikiteita ndio wanatumia neno hilo..sedition

What do you understand by sedition? Critically comment on the way the courts have interpreted the Section 124(A) of the penal code.

Sedition is about when a person's speech, behaviour, language, written words attracts the group of people or a mob acts rebellion against authority of state or create incitement to public disorder or violence.


It is crucial to understand the meaning of "incitement to violence." Properly, that concept refers to somebody actively urging violence against particular individuals. For example, it should be against the law for Joe to distribute pamphlets that state, "Murder my neighbor Jim because..." It should also be against the law for Joe to advertise for the services of a hitman.

* If somebody said, "Jesus is not the son of God," and then a Christian beat the person to a bloody pulp, the misapplication of the notion of "incitement to violence" would blame the "blasphemer" and excuse the Christian

.
The Danish cartoons do not incite anyone to violence in the relevant sense. The cartoons don't encourage anyone to commit violence against any Muslim or any other party. Instead, (some of) the cartoons criticize Islam for its tendencies to violence and oppression of women. (As I argued, such criticisms are totally warranted by the facts.) In response, many Muslims have committed acts of violence and threatened violence.

To say that the cartoons incited Muslims to violence would be to blame the cartoonists for the irrational and immoral behavior of the Muslims. Such an approach would blame the victims of crimes for the crimes.
 

Attachments

"Uchochezi", hili ni neno pana sana ambalo hutumika kwenye nchi za kidikiteta, madhumuni yake ni kuwabana wapenda haki ili wananchi waweze kukandamizwa kwa kunyimwa haki zao! Kinachotokea ni kuwa ukitaka nchi iwe na katiba mpya mtawala haitaki hivyo unayeitaka atakuita mchochezi kisa, ni kuwaamsha wanaonyimwa haki!

Tatizo kubwa ni kuwa anayekutuhumu( mtawala) anasikilizwa zaidi kuliko uliyetungiwa kosa la uchochezi japo halipo ni la kufikirika tu, ili tuwe na katiba yenye haki pasipo na shaka hili neno " uchochezi" tulikatae kwenye katiba yetu.

Karibuni.
Kweli tupu
 
Back
Top Bottom