Kwenye Katiba Mpya Wapinzani Mmetuangusha Taifa! Hamna Hoja!!

Joined
Apr 27, 2006
Posts
26,584
Reaction score
10,400
- Nimeshitushwa sana na Wapinzani kukosa kabisa hoja nzito zenye tija kwa Taifa letu, baada ya makelele ya muda mrefu sana kutaka marekebisho ya Katiba, sasa Mapendekezo yamewekwa mezani nashangaaa kuona Wapinzani wakiwa hawana hoja yoyote nzito zaidi tu kukazana kuwa Wapinzani tu wa kila hoja inayopendekezwa na CCM it is sad. Kwanza walianza na Madaraka ya Rais kupunguzwa hoja ambayo haina tija yoyote wala elimu ndani yake kwa sababu Jamhuri yetu inaongozwa na Mihimili mitatu, Bunge, Mahakama, na Ikulu, sasa unawezaje kushauri kupunguzwa madaraka ya Bunge kisheria na kuipa Ikulu? I mean unawezaje kuyapunguza madaraka ya Ikulu na kuipa Mahakama? I mean absolutely nonsense, kama bunge ni matatizo tu ya wabunge wenyewe bunge letu lina mpaka kipengele kinachowaruhusu kupiga kura ya no-confidence kwa Rais sasa Bunge linataka nini zaidi ya hiyo Mighty Political Power katika Jamhuri yoyote Duniani?

- I mean I am lost na recently childish arguments za Wapinzani kwamba eti sasa wanataka Serikali Tatu, hoja ambayo wameibeba only baada ya kusikia CCM wanataka Serikali mbili, so ina maana kelele zote za Wapinzani kutaka Marekebisho ya katiba ni kwa Sababu tu walitaka Serikali Tatu? Hoja ambayo haina mashiko kabisa kwa sababu at its heart ni kutaka kuvunja Muungano tu, ok Muungano ukivunjika inawasaidia vipi Wapinzani kushika Dola ambayo inatakiwa kuwa ndio lengo la chama chochote cha siasa Duniani?

- Ninajaribu sana kusoma hoja za Wapinzani on Katiba mpya naishia kushangaa tu, I mean sio siri kwamba hamna hoja kabisa ambayo ina tija kwa Taifa zaidi tu ya makelele ya mlango, please back off mjipange tena kwa sababu kwa makelele ambayo mmepiga kwa muda mrefu kuhusu kutaka katiba mpya na hoja zenu sasa hivi ni kupoteza muda wa Taifa bure mjipange tena jamani tunataka hoja nzito kwa manufaa ya Taifa lijalo, so far naona mnahangaika sana na short terms political gains badala ya long term ambazo zitakuwa na tija kwa taifa letu la kesho, please lioneeni huruma hili taifa!!

Le Mutuz Live in Mbeya: or At williammalecela.blogspot.com
 
Ulipotea sana William, tulizi-miss sana PUMBA zako...
 
Mkuu unaweza kutujulisha unamaanisha nini kwa hii thread? Nimerudia mara kumi kusoma sioni point yako ni nini?

Ok, unapinga serikali tatu ama nini? As a GT, jenga hoja kama wapinzani hawana hoja sio kuja na vioja....

Jaribu kupitia ulichoandika...
 
Unalazimisha sana kuonekana mbele ya kadamnasi ndugu yangu ilihali huna tiketi ya kuonekana!

Katiba ni ya kiraia sio ya vyama vya siasa,

Kama ni mfuatiliaji wa siasa za nchi hii naamini hukuwa na sababu kuja na hoja za kitoto hivi!
 
- Hoja za kitoto ni kuita Mapendekezo ya Katiba mpya kuwa ya Kiraia na huku unajua walioshinikiza kuwepo kwa mapendekezo sio wananchi ila ni vyama vya wapinzani zaidi, unless huna history na this ishu, next time wacha kukurupuka na majibu ya kitoto kwenye hoja ya watuwazima! ha1 ha1 ha! ha1

Le Mutuz
 
Wapinzani akina nani? Mabaraza ya katiba yamejaa maccm.
 
- Hoja za kitoto ni kuita Mapendekezo ya Katiba mpya kuwa ya Kiraia na huku unajua walioshinikiza kuwepo kwa mapendekezo sio wananchi ila ni vyama vya wapinzani zaidi, unless huna history na this ishu, next time wacha kukurupuka na majibu ya kitoto kwenye hoja ya watuwazima! ha1 ha1 ha! ha1

Le Mutuz

Acha umburula kubwa mwili nyumba mlio wapenyeza wafanye kazi kwa kupenyeza mawazo ya maccm ndo hao wanawaangusha
 
"wapinzani mmetuangusha Taifa".....

Hivi siku hizi msemaji wa taifa ni nani???.........
 
- Nimeshitushwa sana na Wapinzani kukosa kabisa hoja nzito zenye tija kwa Taifa letu, baada ya makelele ya muda mrefu sana kutaka marekebisho ya Katiba, sasa Mapendekezo yamewekwa mezani nashangaaa kuona Wapinzani wakiwa hawana hoja yoyote nzito zaidi tu kukazana kuwa Wapinzani tu wa kila hoja inayopendekezwa na CCM it is sad. Kwanza walianza na Madaraka ya Rais kupunguzwa hoja ambayo haina tija yoyote wala elimu ndani yake kwa sababu Jamhuri yetu inaongozwa na Mihimili mitatu, Bunge, Mahakama, na Ikulu, sasa unawezaje kushauri kupunguzwa madaraka ya Bunge kisheria na kuipa Ikulu? I mean unawezaje kuyapunguza madaraka ya Ikulu na kuipa Mahakama? I mean absolutely nonsense, kama bunge ni matatizo tu ya wabunge wenyewe bunge letu lina mpaka kipengele kinachowaruhusu kupiga kura ya no-confidence kwa Rais sasa Bunge linataka nini zaidi ya hiyo Mighty Political Power katika Jamhuri yoyote Duniani?

- I mean I am lost na recently childish arguments za Wapinzani kwamba eti sasa wanataka Serikali Tatu, hoja ambayo wameibeba only baada ya kusikia CCM wanataka Serikali mbili, so ina maana kelele zote za Wapinzani kutaka Marekebisho ya katiba ni kwa Sababu tu walitaka Serikali Tatu? Hoja ambayo haina mashiko kabisa kwa sababu at its heart ni kutaka kuvunja Muungano tu, ok Muungano ukivunjika inawasaidia vipi Wapinzani kushika Dola ambayo inatakiwa kuwa ndio lengo la chama chochote cha siasa Duniani?

- Ninajaribu sana kusoma hoja za Wapinzani on Katiba mpya naishia kushangaa tu, I mean sio siri kwamba hamna hoja kabisa ambayo ina tija kwa Taifa zaidi tu ya makelele ya mlango, please back off mjipange tena kwa sababu kwa makelele ambayo mmepiga kwa muda mrefu kuhusu kutaka katiba mpya na hoja zenu sasa hivi ni kupoteza muda wa Taifa bure mjipange tena jamani tunataka hoja nzito kwa manufaa ya Taifa lijalo, so far naona mnahangaika sana na short terms political gains badala ya long term ambazo zitakuwa na tija kwa taifa letu la kesho, please lioneeni huruma hili taifa!!

Le Mutuz Live in Mbeya: or At williammalecela.blogspot.com

Tena wanaunga mkono Rasimu ambayo Walikataa Kamati yake.
 
Mkuu unaweza kutujulisha unamaanisha nini kwa hii thread? Nimerudia mara kumi kusoma sioni point yako ni nini?

Ok, unapinga serikali tatu ama nini? As a GT, jenga hoja kama wapinzani hawana hoja sio kuja na vioja....

Jaribu kupitia ulichoandika...
Hoja kubwa hapa ni kwamba wapinzani hawana hoja ya maana kwenye katiba mpya, ni kelele za kitoto tu
 
Back
Top Bottom