Kwenye Katiba Mpya Wapinzani Mmetuangusha Taifa! Hamna Hoja!!

Kwenye Katiba Mpya Wapinzani Mmetuangusha Taifa! Hamna Hoja!!

Halafu wewe jamaa unajifanya akili kumbe hamnazo.Sina comment zaidi.Ulichokiandika ni ujinga mtupu naona hata uvivu kuuchangia.Byeee
 
- Hoja za kitoto ni kuita Mapendekezo ya Katiba mpya kuwa ya Kiraia na huku unajua walioshinikiza kuwepo kwa mapendekezo sio wananchi ila ni vyama vya wapinzani zaidi, unless huna history na this ishu, next time wacha kukurupuka na majibu ya kitoto kwenye hoja ya watuwazima! ha1 ha1 ha! ha1

Le Mutuz

Sasa ndugu yangu vyama vya siasa sivinaongozwa na watu? Na hivyo vyama vina wanachama? Na wanachama wenyewe c ndo sisi ambao ni wananchi? hoja yako ni nypesi sana...hv ww ndo unataka kumtoa lusinde? Ebu ngoja niwashauri viongozi wangu tukuvamie kwenye jimbo lenu tumwage sumu ndo dawa yako.
Hizo pesa mlizopewa mnazunguka nchi nzima na bulembo kuropoka zitawatokea puani.
 
Ni huyuhuyu aliyesema kwamba Serikali tatu maana yake Marais watatu, Benki Tatu!
I see him like a lonely hyena!
 
tunasubiri ccm ijichanganye ili tupate hoja, hatuwezi kwenda kichwa kichwa,
 
Tangu lini mwizi akawa mchambuzi wa mambo ya kisomi na kitaalaamu?
 
Jamani katiba mpya haikuwapo kwenye ilani ya ccm, walidandia kwenye ilani ya chadema,na tunajua ccm wabunge wake ni wazee wa ndio hawana mawazo isipokuwa chama ndo kinawaza kwa niaba, huyo le mutuz dawa yake kibajaji ,jifunze kwa babako jinsi alivotulizwa nawe huna jipya na wanamtera hatutakaa tufanye kosa kuchagua mtu anayefikiri kwa tumbo,kichwa chepesi sana.
 
Ulipotea sana William, tulizi-miss sana PUMBA zako...

Hivi unafikiri hatujui kuwa hoja za William ndizo zilipekelea CHADEMA wainunue jambo forums na kuiita jamiiforums ili kupambana naye? inaonekana wewe ni mgeni sana na huenda hujui kuwa jamiiforums zamani ilijulikana kama jambo forums. Mutuz noma wewe.
 
hivi haujishtukii tu coz uzee unakunyemelea , hebu wewe mtu wa serikali tupe hayo maoni yako strong.
 
Sioni sababu ya kulumbana hapa yeye kasema wapinzani hawana hoja,mtazamo na uchambuzi wake binafsi.

La msingi hapa kwa upande wa pili ni kuainisha tu hoja za upinzani kwenye katiba mpya baaas!!!!! ili sisi tusiofungamana na upande wowote tuchague mchele baina ya chuya!!!!!!

Mambo ya ooonh Lsuinde sijui lonely hyena,mwili mkubwa huna akili sio majibu ya hoja yake,siasa za matusi kipindi ambacho kuna mambo tata kama haya ya katiba si njia nzuri kwa chama chochote makini katika kuuhakikishia umma kwamba ni chama makini na tegemewa.

Jibizaneni kwa hoja tuwapime nguvu zenu kwa uzito wa hoja
 
takataka huyu mtoto wa tingatinga ,kweli Mh.Nassari amekuwa nabii ktk hili ccm wote sawa na ukoo wa panya wote ni wezi wote ni mazezeta na zaidi wote ni wauaji.
Pamoja na elimu ya plagiarism bado huwezi hata kujenga hoja juu unachoandika lakini sio bure baba yako Malechela alihongwa na waarabu kama malaya.
SHAME UPON YOU. HUFAI KWA LOLOTE CCM WOTE MAZEZETA
 
Katiba sio ya wapinzani ni ya Watanzania wote. La msingi upande wa pili mapendekezo yao mengi yaliingia kwenye rasimu kazi kwenu watawala kuyapangua kwani naona mliingia kwenye mabaraza kwa gear kubwa kumbe tume ya Katiba imeenda shule. Mimi nashukuru sana huu mchakato kwani ingechukua miaka mingine hamsini bila wa Tanganyika na wa Zanzibari wengi kujua maana ya Katiba ya nchi!
 
No wonder, at 50s bado naishi kwa baba, nakula kwa baba, isitoshe nguo zikiisha namwomba hela baba, viatu vikiisha namwomba hela baba, hela ya bia namwomba hela baba, hela ya kununua condom namwomba hela baba.

Ha ha Ha, mawazo ya akili yatatoka wapi?
 
Ndugu yangu Malecela, katika hili kuna baadhi ya maswali ngependa unijibu... Hivi ni nani kati ya CCM na Wapinzani aliyedandia swala la katiba? Hivi ni kwa nini CCM haitaki serikali tatu, kuna nini nyuma ya pazia? Hivi ni lini wewe utaitwa Mtanganyika, mbona hii ni Zanzibar na hii ni Tanzania bara? Nini faida na hasara ya muungano, je unafahamu kuwa Zanzibar ni nchi yenye katiba, rais, bendera, bunge n.k? Hivi ni nani kati ya CCM na Wapinzani aliyetumia nguvu nyingi kuunda mabaraza ya katiba? Naomba unapojibu haya ujibu kwa ukweli na sio kwa kusapoti chama. Mungu na akusaidie
 
Nakosa tafsiri kamili ya mpinzani...Ni yupi hasa na anapinga nini...William always huwa nadhani umekuwa blinded na ambition na kila unachotazama una bias zako
 
Back
Top Bottom