Kwenye Katiba Mpya Wapinzani Mmetuangusha Taifa! Hamna Hoja!!


Mkuu mbona wewe ndo huna hoja yoyote katika hii thread yako.Au ndo mambo ya 7000/= Lumumba.
 
Umejitaidi kuongea but nonesence huna hoja ya msingi mzee so na wewe rudi ukajipange tena afu uje na hoja na ufafanuzi wake sio bla blaa coz raia tumechoka na blaa zenu zisizo na maana sahihi
 
Mim nadhan ndugu malecela amepotoka,swala la serkal tatu l¨¬likua ni agenda maalum ya upinzan cuf na chadema hili lilikua kwenye hata manifesto zao za uchaguz kwahiyo nataka nikurekebishe tu kuwa upinzan haupiganii serkal tatu heti sababu ccm wataka serkal mb¨¬l
 
Kwani Wapinzani ndo umeona wa kubadili nchi hii?ht wewe ni wajibu wk siyo kushabikia utumbo unaofanywa mwisho wa siku unabaki na familia yk mkilia maisha magumu.fanya yako.
 
Nashauri ungozi wa CCM uwe na utaratibu wa kugawa majukumu kulingana na upeo wa muhusika.

Huyu Le-mutumbo anaweza baby sitting jobs tu, maswala kama haya yanayohitaji critical thinkers mtumeni mtu mwingine kabisa, ona sasa anawapaka mavi ccm wenyewe.
 

huyo mtoto kibonge hapendi kusoma na hayapendi maandishi kabisa, anaongea hisia bila kufanya utafiti,
tusimlaumu sana kwasababu hapo ndo uwezo wake wa mwisho wa kufikiri.
Maoni anayotoa huwa anaandikiwa na mzee wake.
 
...umeona mkuu,hata haeleweki point ya msingi ni ipi ?matatizo ya vichwa vya panzi haya...
 


You are right
kuna vitu kibao vya kupinga hawapingi
umri wa kugombea urais hawazungumzi
serikali za mitaa za mameya kutochaguliwa direct na wananchi?
ubunge wa jinsia?
kuna so many vya kuulizana wao wamekazania kuunga tu mkono rasimu as it is...
very strange
 
No wanaokurupuka name hii imetokana name wao kutokuwa name umoja kwa maslahi ya jamii ya Tanzania
 


This sounds like a Brazilian wax, empty thread ....public lice
 
@ W. J. Malecela naamini na wewe uko kati ya kundi la wanaotaka kufa, kama Nape alivyosema. Hebu tuachie nchi yetu sisi vijana tuamue tutakalo.
 
zakayo alipanda kwenye mkuyu kwa sababu alikuwa mfupi wa kimo ili amuone yesu, kwa kuwa nawe ni mfupi wa kimo kiakili ili tukuone umeamua kuchagua mkuyu ambao ni kuongea pointless ili tukuone poa haina mbaya, tumekuona sasa shuka kwenye mkuyu tukupe nondo za maana ili akili yako ianze kufikiri vema
 
pamoja na kusoma abroad huna kitu kichwani je ungesoma shule za kata ungekuaje.THINK BIG
 
Suala la katiba ya nchi halipaswi kuwa ni suala la chama au vyama vya siasa bali suala la wananchi bila ya kujalisha tofauti zao kiitikadi; Tulifanya kosa ambalo halikuwa na lazima kwenye katiba ya muda (1965) kupitia TANU na baadae katiba ya kudumu (1977) kupitia CCM, na inaelekea tutafanya kosa hilo tena katika katiba mpya, lakini pengine wakati huu italazimu iwe hivyo tena kwani ni hatari sana kwa mustakabali wa vya taifa, hasa vizazi vya baadae kurithi katiba yenye mtazamo wa ki-ccm peke yake; Hii ni kwa sababu, vyama vya siasa vitakuja na kuondoka madarakani, vitabadilika majina (mfano TANU kwenda CCM) na itikadi (mfano ujamaa kwenda soko huria),lakini wananchi na dhamira yao kama taifa la Tanzania vitabakia pale pale;

Ni muhimu kwa ccm kuonyesha mfano wa kuigwa na kuacha kuingilia mchakato wa katiba; hivyo ndivyo viongozi wake (sina uhakika kama w.j. Malecela ni kiongozi wa chama wa kulisemea hili) ndivyo watakapopata moral authority ya kumekea suala hili;


Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Rais apunguziwe madaraka ili kuondoa teuzi zake za viongozi majanga,na tunataka umilikaji wa raslimali za taifa letu.
 
Ivi hakuna dawa ya kumwongezea binadamu uwezo wa kufikiri?
 

hahahaaaah , nimecheka sana ! Lol.

mtafute Jide akupe mashairi ya wimbo unaitwa Yahaya unaishi wapi.
 
hizi ndio agenda za CHADEMA


A. JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA MUUNDO WAKE
1. Kutakuwa na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambayo itakuwa ni shirikisho lililoundwa na nchi ya Tanganyika na nchi ya Zanzibar.
2. Kutakiwa na haki kamili ya kila nchi inayounda Jamhuri ya Muungano kujitoa katika Muungano lakini haki hiyo itatumiwa kwa masharti kwamba uamuzi wa kujitoa katika Jamhuri ya Muungano lazima upate ridhaa wa upande husika kwa kura ya maoni (referendum/plebiscite) kwa idadi isiyopungua theluthi mbili ya kura zote halali.
3. Kutakuwa na Serikali ya Muungano ambayo itakuwa na madaraka juu ya mambo ya Muungano pekee. Mambo ya Muungano yatakuwa yafuatayo:
(a) Mambo ya nje yanayohusu masuala ya diplomasia lakini yasiyohusu ushirikiano wa kimataifa;
(b) Ulinzi na usalama isipokuwa kwa masuala ya polisi na magereza;
(c) Mahakama Kuu ya Jamhuri ya Muungano (Supreme Court of the United Republic);
(d) Uraia na uhamiaji;
(e) Sera za fedha na sarafu;
(f) Sera za biashara ya kimataifa na masuala ya forodha;
(g) Masuala ya ithibati ya elimu ya juu.
4. Kutakuwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano ambaye atakuwa Mkuu wa Serikali ya Muungano, Mkuu wa Nchi na Amiri Jeshi Mkuu wa majeshi ya Ulinzi ya Jamhuri ya Muungano.
5. Rais wa Jamhuri ya Muungano atachaguliwa na Wajumbe wote wa Bunge la Muungano, Bunge la Tanganyika, Baraza la Wawakilishi Zanzibar, wenyeviti, mameya na magavana wote.
6. Rais wa Jamhuri ya Muungano atachaguliwa kwa kipindi kimoja cha miaka mitano na anaweza kuchaguliwa kwa kipindi kingine kimoja cha miaka mitano, na atachaguliwa kwa msingi wa kuachiana zamu ya kushikilia madaraka ya Rais wa Jamhuri ya Muungano Kati ya nchi mbili zinazounda Jamhuri ya Muungano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…