Kwenye kikosi bora cha dunia hakuna hata mmoja kutoka epl, nini maana yake?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]inamaanisha epl ndio ligi ngum dunian[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Haina sifa ya kutoa mchezaji bora duniani kwasababu hailei vipaji, EPL ni ligi maarufu Ila sio bora, Ubovu wa EPL unaitafuna hadi timu ya Taifa ya England......alafu bingwa hatabiriki kwasababu karibia timu zote ni average na zina average players
 
We jiulize tu kwanini ma-legend wa SokA ulimwenguni wameikimbia EPL kuanzia Messi, Gaucho, Real Ronaldo, Zidane, Cannavaro, Rivaldo nk.....ni kwasababu EPL hailei vipaji
 
Huo ni ukichaa sasa De bruyne anakiwango gani cha kumfikia Kroos au Iniesta.....KDB bado hata robo ajafika
 
Here is the FIFA FIFPro World XI for 2017:

[emoji617]GK: Gianluigi Buffon

[emoji617]DEF: Dani Alves, Leonardo Bonucci, Sergio Ramos, Marcelo

[emoji617]MID: Toni Kroos, Luka Modric, Andres Iniesta

[emoji617]FWD: Cristiano Ronaldo, Lionel Messi, Neymar
 
HAPO ATAKAE TAMBA NI MAN CITY TU WENGINE WASINDIKIZAJI___END OF THE DAY CITY NAYE ATANYUKWA NA KUTOLEWA OUT KABISA.

SO UBINGWA UTABAKIA SPAIN.

KWENYE GROUP ANAYE-ONGOZA NI MADRID BWANA NA SIO SPURS___
 
We jiulize tu kwanini ma-legend wa SokA ulimwenguni wameikimbia EPL kuanzia Messi, Gaucho, Real Ronaldo, Zidane, Cannavaro, Rivaldo nk.....ni kwasababu EPL hailei vipaji
Unataka iwalee vipi? Hao ndo malenged pekee wa mpira.
 
HAPO ATAKAE TAMBA NI MAN CITY TU WENGINE WASINDIKIZAJI___END OF THE DAY CITY NAYE ATANYUKWA NA KUTOLEWA OUT KABISA.

SO UBINGWA UTABAKIA SPAIN.

KWENYE GROUP ANAYE-ONGOZA NI MADRID BWANA NA SIO SPURS___
Anaongoza Spurs,rudi tena kaangalie msimamo
 
Africa hata angekuepo aliye kua kwenye kiwango bora basi unadhani wange muweka! Anhaa
 
We jiulize tu kwanini ma-legend wa SokA ulimwenguni wameikimbia EPL kuanzia Messi, Gaucho, Real Ronaldo, Zidane, Cannavaro, Rivaldo nk.....ni kwasababu EPL hailei vipaji
kwa kuwa huwezi kupiga watu chenga kijinga kule..huko kwa wapaka poda inawezekana
 
wewe unaesema kwamba EPL ni the best league nani kakudanganya angalia hata takwimu zinakuonesha kwamba CL imekaa Spain miaka 3 mfululizo bisha uchekwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…