AsanteNikiona tu Jina la Onana nasikia Kukasirika mno kwani nimeshasema si Mchezaji anayefaa Kuichezea Simba SC yetu.
Safi sana kwa kuwepo huyo Mpuuzi Onana hata katika Benchi naomba tufungwe mengi na katika Derby tufungwe tena.
Unashamgaa nini..wengine hata sub hawakuwepo.
Huko south nasikia wamecheza na kikosiAhsante tumeshinda hata kama sijaona game. Watani zetu wangesema saaana kulingana na wanavyokiwasha huko South.
Kuna tetesi kuwa ana majeruhiUnashamgaa nini..wengine hata sub hawakuwepo.
Kuna mechi nyingine kesho..hapo hicho ni kikosi cha pili.
Vipi Fred mkuu?Nikiona tu Jina la Onana nasikia Kukasirika mno kwani nimeshasema si Mchezaji anayefaa Kuichezea Simba SC yetu.
Kwa nn mkuuKuna namna naona huruma mnoo.