Kwenye kina kirefu cha bahari, mariana trench(11km) inakuaje kuna viumbe hai?

Uzi huu, jukwaa hili? Omba uhamishwe.

Anyway Kikubwa ni Ku Equalize Pressure, hao viumbe unao waona wanahakikisha internal pressure yao inakua sawa na external pressure ya maji.....

Fanya hivi,
1 chukua puto lipulize hewa kidogo halafu fanya namna uijuayo uliweke chini ya maji mengi mfano kisima kirefu,, nini kitatokea.....? Litapasuka,
Au chukua kopo lako la maji la uhai, lifunge weka chini, nini kitatokea...? Litabonyea.
Huyo ni binadamu akiwa kule..

2. Hilo puto/kopo lijaze maji liweke kule chini tena, nini kitatokea...? Litabaki hivyo hivyo, Hao ndio viumbe wa kule....

Kinachofanya Mtu unaathiliwa na pressure ni uwazi wa hewa uliopo ndani ya mwili wako tuuu, yule ana mechanism anayofanya anahakikisha hamna uwazi, either ajaze hewa au maji kwa pressure ile ile ya nje,

Ukiangalia hao viumbe hapo, sio wenye mifupa mikubwa ambayo itakua na uwazi kati kati, wewe sbb mfupa wako una uwazi kati kati, ukifika kule unakua crashed sbb pressure ya ndani ya mfupa ni ndogo zaidi ya mgandamizo wa maji.

Halafu usiende mbali, hata wewe hapo ulipo usingekua na hio mechanism ungesha jaa hewa tumboni, ukashindwa kuitoa ukafa, BEFORE pressure ya nje ni kubwa zaidi ya ndani yako.
 
Nyuzi kama hizi humu umepotea, peleka hata jukwa la intelligencia au science and technology, Ile mada yako ya asubuhi ya wanaume kutolea watoto ndio ingebamba..

Anyway Kikubwa ni Ku Equalize Pressure, hao viumbe unao waona wanahakikisha internal pressure yao inakua sawa na external pressure ya maji.....

Fanya hivi,
1 chukua puto lipulize hewa kidogo halafu fanya namna uijuayo ukiweke chini ya maji mengi mfano kisima,, nini kitatokea.....? Litapasuka,
Au chukua kopo lako la maji la uhai, lifung weka chini, nini kitatokea...? Litabonyea.
Huyo ni binadamu akiwa kule..

2. Hilo puto/kopo lijaze maji liweke kule chini tena, nini kitatokea...? Litabaki hivyo hivyo, Hao ndio viumbe wa kule....

Kinachofanya Mtu unaathiliwa na pressure ni uwazi wa hewa uliopo ndani ya mwili wako tuuu, yule ana mechanism anayofana anahakikisha hamna uwazi, either ajaze hewa au maji kwa pressure ile ile ya nje,

Ukiangalia hao viumbe hapo, sio wenye mifupa mikubwa ambayo itakua na uwazi kati kati, wewe sbb mfupa wako una uwazi kati kati, ukifika kule unakua crashed sbb pressure ya ndani ya mfupa ni ndogo zaidi ya mgandamizo wa maji.
Kitaalam zaidi,Unafaa kua mwalimu[emoji4]
 
Umeelezea kwa lugha nyepesi Sana,
Hadi Mimi nilokimbia umande nmekuelewa[emoji4]
Baba J, umekuwa kimya sana, unemwaga mama J?
Lete vitu kijana...DJ
Mlete DeepPond [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Uzi huu, jukwaa hili? Omba uhamishwe.

Anyway Kikubwa ni Ku Equalize Pressure, hao viumbe unao waona wanahakikisha internal pressure yao inakua sawa na external pressure ya maji.....

Fanya hivi,
1 chukua puto lipulize hewa kidogo halafu fanya namna uijuayo uliweke chini ya maji mengi mfano kisima kirefu,, nini kitatokea.....? Litapasuka,
Au chukua kopo lako la maji la uhai, lifunge weka chini, nini kitatokea...? Litabonyea.
Huyo ni binadamu akiwa kule..

2. Hilo puto/kopo lijaze maji liweke kule chini tena, nini kitatokea...? Litabaki hivyo hivyo, Hao ndio viumbe wa kule....

Kinachofanya Mtu unaathiliwa na pressure ni uwazi wa hewa uliopo ndani ya mwili wako tuuu, yule ana mechanism anayofanya anahakikisha hamna uwazi, either ajaze hewa au maji kwa pressure ile ile ya nje,

Ukiangalia hao viumbe hapo, sio wenye mifupa mikubwa ambayo itakua na uwazi kati kati, wewe sbb mfupa wako una uwazi kati kati, ukifika kule unakua crashed sbb pressure ya ndani ya mfupa ni ndogo zaidi ya mgandamizo wa maji.

Halafu usiende mbali, hata wewe hapo ulipo usingekua na hio mechanism ungesha jaa hewa tumboni, ukashindwa kuitoa ukafa, BEFORE pressure ya nje ni kubwa zaidi ya ndani yako.
Na kujazia nyama nyama pia hata hizi ndege za abiria kuruka kwake na pia kuchakaa kwake (wear and tear) kunaathiriwa na pressure ya hewa
 
Umesikia ile sub marine ya Oceangates iliyozama juzi??? Ilienda huko, tena hata nusu ya hio 11km haijafika, Leo taarifa zimetoka imepigwa pressure ya kutosha wameokota vipande, kumbuka ni chuma kilichokua kimeshiba, kuhusu miili yao wameambiwa wasahau.
Screenshot_20230622_224603_Google.jpg
 
Back
Top Bottom