650
JF-Expert Member
- Jun 6, 2024
- 300
- 409
Damu inarudi kinyume 😒Octopus is one of intelligent creatures in the world. Huko chini ya bahari wanajenga na makoloni, nilishawahi ona documentary imerikodiwa Australia
Pamoja ya yote, naamini chini kabisa ya bahari the lowest point is so dark hata mwanga haufiki. Pia presure , ukifika huko damu inarudi kinyume, badala ya mzunguko wake wa kawaida
I doubt kama kuna picha clear ikionyesha kinachoendelea
Mtazamo wangu
Pia bahari ni kubwa sana bado hata kugundua viumbe ambavyo vinaishi baharini