Kwenye kina kirefu cha bahari, mariana trench(11km) inakuaje kuna viumbe hai?

Damu inarudi kinyume 😒
 
Hapo point ni kwamba miwili yao imeumbwa kustahimili mgandamizo mkubwa wa maji
 
Damu inarudi kinyume 😒
Niliona kwenye movie nimeamua kuichomekea, kwani sio kweli?

I thought pressure ya nje ikiwa kubwa kuliko ya ndani inaweza kufanya damu ika flow opposite direction

Ndio maana wakitoka chini ya maji kwenye documenatries naona wanaongia kwenye pressure chamber ku stabilize flow

Nimecheka sana.
 
Hii reply Yako sijaisoma mzee nimeishia kwenye neno la tatu tu hapo🤔
 
Sio kweli pressure ikiwa kubwa una pasuka
 
Halafu kuna Mazumbukuku yanadhani hivyo vyote vipo by coincidence tu, Hamna muweza wa vyote aliyefanikisha hivyo.
Binadamu akikosa majibu ya maswali yake anaanza KUFORCE kutengeneza KITU kilichotengeneza………… Mkuu sio LAZIMA kujua kila kila tu Ulimwenguni
 
Wame addapt mazingira,, evolution, kila kiumbe huishi sehem iliyosalama kwake
 
Kuna kitu kigumu sana kama wapumbavu kutaka kuelewa sayansi na kubishana na sayansi kama ukitumia kuwaelimisha na kueleza ilipowafikisha.

Mfano unakuta mtu anakubishia mafuta ya gari haya wezi kusukuma gari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…