Kwenye kiswahili hamna dhehebu ama maadili mema.

loose Nut

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2025
Posts
2,887
Reaction score
6,657
Wengi tunakosea sana ila tujikumbushe tu na kuelimishana. Kwenye kiswahili hamna neno dhehebu bali ni madhehebu. Mfano huwezi kuita dhehebu la kilutheri, katoliki, sabato, sunni au Shia. Bali utaita madhehebu ya kikatoliki, madhehebu ya kilutheri, madhehebu ya kisabato, madhehebu ya Sunni na madhehebu ya Shia.

Pia kwenye kiswahili hamna maadili mema. Maadili inabaki Maadili tu.

Pia haya maneno yanakubalika kabisa kwenye kiswahili mfano kupiga umbea, kupiga umalaya na kuona njaa.

Senior JF multi linguistic expert

UDSM alumni

adriz
 
Na kisheria hakuna dhehebu, kuna dini tu. So ile ya Mwamposa ni dini, Katoliki ni dini, lutheran ni dini.
 
Wengi tunakosea sana ila tujikumbushe tu na kuelimishana. Kwenye kiswahili hamna neno dhehebu bali ni madhehebu. Mfano huwezi kuita dhehebu la kilutheri, katoliki, sabato, sunni au Shia. Bali utaita madhehebu ya kikatoliki, madhehebu ya kilutheri, madhehebu ya kisabato, madhehebu ya Sunni na madhehebu ya Shia.

Pia kwenye kiswahili hamna maadili mema. Maadili inabaki Maadili tu.

Pia haya maneno yanakubalika kabisa kwenye kiswahili mfano kupiga umbea, kupiga umalaya na kuona njaa.

Senior JF multi linguistic expert

UDSM alumni

adriz
Oya Nyangwisi acha kujipa taaluma ambazo huna , UDSM ya wapi umesoma wewe ?

Eti multi linguistic expert , mbona anaabisha fani za watu kwa nini usikomae na mabange yako na ukajipachika vyeo vya Mabange Maarass wewe ?
 
Wengi tunakosea sana ila tujikumbushe tu na kuelimishana. Kwenye kiswahili hamna neno dhehebu bali ni madhehebu. Mfano huwezi kuita dhehebu la kilutheri, katoliki, sabato, sunni au Shia. Bali utaita madhehebu ya kikatoliki, madhehebu ya kilutheri, madhehebu ya kisabato, madhehebu ya Sunni na madhehebu ya Shia.

Pia kwenye kiswahili hamna maadili mema. Maadili inabaki Maadili tu.

Pia haya maneno yanakubalika kabisa kwenye kiswahili mfano kupiga umbea, kupiga umalaya na kuona njaa.

Senior JF multi linguistic expert

UDSM alumni

adriz
Hivi Kiswahili kuna neno "lisaa"? Nimesikia watu wakisema nitarudi baada ya lisaa!

Pia utasikia mdada, mkaka etc. Nabaki nasilikliza tu! Sijui ni Wachaga ndio wameanzisha haya, sielewi.
 
Hamna lisaa imezoeleka tu ni saa. Pia unaweza kutamka mda ama muda lakini kwenye kuandika ni muda tu.

Ni mawani siyo miwani. Ni tayari siyo tiyari . Ni kuonesha siyo kuonyesha.

Loose Nut ni mkufunzi maarufu aliyebobea katika lugha mbali mbali hususan lugha mufti ya kiswahili.

Nakuonya kuanzia sasa uache kuniTag mahali popote pale , kuwa na jambo la maana au Upumbavu.

Sasa nimebadilika sitaki KuEngage na wapumbavu na kwenye mambo ya kipuuzi .

You're poorly behaving now , you would be better not mention me anymore . Enough is enough it's embarrassing now , please stop tagging me immediately
 
Wengi tunakosea sana ila tujikumbushe tu na kuelimishana. Kwenye kiswahili hamna neno dhehebu bali ni madhehebu. Mfano huwezi kuita dhehebu la kilutheri, katoliki, sabato, sunni au Shia. Bali utaita madhehebu ya kikatoliki, madhehebu ya kilutheri, madhehebu ya kisabato, madhehebu ya Sunni na madhehebu ya Shia.

Pia kwenye kiswahili hamna maadili mema. Maadili inabaki Maadili tu.

Pia haya maneno yanakubalika kabisa kwenye kiswahili mfano kupiga umbea, kupiga umalaya na kuona njaa.

Senior JF multi linguistic expert

UDSM alumni

adriz
Hakuna BAHATI MBAYA,badala yake sema mkosi. Ukishataja neno BAHATI maana yake ni nzuri
 
Nakuonya kuanzia sasa uache kuniTag mahali popote pale , kuwa na jambo la maana au Upumbavu.

Sasa nimebadilika sitaki KuEngage na wapumbavu na kwenye mambo ya kipuuzi .

You're poorly behaving now , you would be better not mention me anymore . Enough is enough it's embarrassing now , please stop tagging me immediately
Ila bwana mdogo una mikwara mavi na vituko sana na viingereza vyako vya AI na kubahatisha.
 
Hamna lisaa imezoeleka tu ni saa. Pia unaweza kutamka mda ama muda lakini kwenye kuandika ni muda tu.

Ni mawani siyo miwani. Ni tayari siyo tiyari . Ni kuonesha siyo kuonyesha.

Loose Nut ni mkufunzi maarufu aliyebobea katika lugha mbali mbali hususan lugha mufti ya kiswahili.

adriz
Ni mawani siyo miwani. 😳
Ni kuonesha siyo kuonyesha.😳

Hapa mtihani ningefeli kabisa, siku zote mie nimesema miwani na kuonyesha!!!!

Sasa nikuulize, ni Maonyesho ya Sasasaba au Maonesho ya Sabasaba?
 
Back
Top Bottom