Keshalamba mpunga mrefuLEMA Unakera sana.
Oya Nyangwisi acha kujipa taaluma ambazo huna , UDSM ya wapi umesoma wewe ?Wengi tunakosea sana ila tujikumbushe tu na kuelimishana. Kwenye kiswahili hamna neno dhehebu bali ni madhehebu. Mfano huwezi kuita dhehebu la kilutheri, katoliki, sabato, sunni au Shia. Bali utaita madhehebu ya kikatoliki, madhehebu ya kilutheri, madhehebu ya kisabato, madhehebu ya Sunni na madhehebu ya Shia.
Pia kwenye kiswahili hamna maadili mema. Maadili inabaki Maadili tu.
Pia haya maneno yanakubalika kabisa kwenye kiswahili mfano kupiga umbea, kupiga umalaya na kuona njaa.
Senior JF multi linguistic expert
UDSM alumni
adriz
Kisheria hakuna madhehebuDini ni religion na madhehebu ni denominations.
Hivi Kiswahili kuna neno "lisaa"? Nimesikia watu wakisema nitarudi baada ya lisaa!Wengi tunakosea sana ila tujikumbushe tu na kuelimishana. Kwenye kiswahili hamna neno dhehebu bali ni madhehebu. Mfano huwezi kuita dhehebu la kilutheri, katoliki, sabato, sunni au Shia. Bali utaita madhehebu ya kikatoliki, madhehebu ya kilutheri, madhehebu ya kisabato, madhehebu ya Sunni na madhehebu ya Shia.
Pia kwenye kiswahili hamna maadili mema. Maadili inabaki Maadili tu.
Pia haya maneno yanakubalika kabisa kwenye kiswahili mfano kupiga umbea, kupiga umalaya na kuona njaa.
Senior JF multi linguistic expert
UDSM alumni
adriz
Hamna lisaa imezoeleka tu ni saa. Pia unaweza kutamka mda ama muda lakini kwenye kuandika ni muda tu.Hivi Kiswahili kuna neno "lisaa"? Nimesikia watu wakisema nitarudi baada ya lisaa!
Pia utasikia mdada, mkaka etc. Nabaki nasilikliza tu! Sijui ni Wachaga ndio wameanzisha haya, sielewi.
Nakuonya kuanzia sasa uache kuniTag mahali popote pale , kuwa na jambo la maana au Upumbavu.Hamna lisaa imezoeleka tu ni saa. Pia unaweza kutamka mda ama muda lakini kwenye kuandika ni muda tu.
Ni mawani siyo miwani. Ni tayari siyo tiyari . Ni kuonesha siyo kuonyesha.
Loose Nut ni mkufunzi maarufu aliyebobea katika lugha mbali mbali hususan lugha mufti ya kiswahili.
adriz
Hakuna BAHATI MBAYA,badala yake sema mkosi. Ukishataja neno BAHATI maana yake ni nzuriWengi tunakosea sana ila tujikumbushe tu na kuelimishana. Kwenye kiswahili hamna neno dhehebu bali ni madhehebu. Mfano huwezi kuita dhehebu la kilutheri, katoliki, sabato, sunni au Shia. Bali utaita madhehebu ya kikatoliki, madhehebu ya kilutheri, madhehebu ya kisabato, madhehebu ya Sunni na madhehebu ya Shia.
Pia kwenye kiswahili hamna maadili mema. Maadili inabaki Maadili tu.
Pia haya maneno yanakubalika kabisa kwenye kiswahili mfano kupiga umbea, kupiga umalaya na kuona njaa.
Senior JF multi linguistic expert
UDSM alumni
adriz
DINI ni islam ama Christian, Hindu nk . hizi za kina MWAM...sa ni ministryNa kisheria hakuna dhehebu, kuna dini tu. So ile ya Mwamposa ni dini, Katoliki ni dini, lutheran ni dini.
Ila bwana mdogo una mikwara mavi na vituko sana na viingereza vyako vya AI na kubahatisha.Nakuonya kuanzia sasa uache kuniTag mahali popote pale , kuwa na jambo la maana au Upumbavu.
Sasa nimebadilika sitaki KuEngage na wapumbavu na kwenye mambo ya kipuuzi .
You're poorly behaving now , you would be better not mention me anymore . Enough is enough it's embarrassing now , please stop tagging me immediately
Ni mawani siyo miwani. 😳Hamna lisaa imezoeleka tu ni saa. Pia unaweza kutamka mda ama muda lakini kwenye kuandika ni muda tu.
Ni mawani siyo miwani. Ni tayari siyo tiyari . Ni kuonesha siyo kuonyesha.
Loose Nut ni mkufunzi maarufu aliyebobea katika lugha mbali mbali hususan lugha mufti ya kiswahili.
adriz