SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
Binafsi huwa sibeti na siku nikiamua kubeti huwa nataka nishinde mzigo wa maana. Kwa hiyo ama nitaweka pesa nyingi au nitabeti matokeo ambayo siyo mategemeo ya wengi (yenye odds kubwa sana) kama hisia zangu zinaniambia hivyo.
Siku hizi nimetokea kubeti zaidi hii Perfect 12 maana nikiangalia mkeka mzima ukikubali vishida vyangu vingi vidogo vidogo nitavimaliza. Mara nyingi natokea kupatia 5 hadi 6 kati ya hizo mechi 12.
Hivi kuna watu wanashindaga hii Perfect 12 kwa kupatia mechi zote 12?