NdiyoBinafsi huwa sibeti na siku nikiamua kubeti huwa nataka nishinde mzigo wa maana. Kwa hiyo ama nitaweka pesa nyingi au nitabeti matokeo ambayo siyo mategemeo ya wengi (yenye odds kubwa sana) kama hisia zangu zinaniambia hivyo.
Siku hizi nimetokea kubeti zaidi hii Perfect 12 maana nikiangalia mkeka mzima ukikubali vishida vyangu vingi vidogo vidogo nitavimaliza. Mara nyingi natokea kupatia 5 hadi 6 kati ya hizo mechi 12.
Hivi kuna watu wanashindaga hii Perfect 12 kwa kupatia mechi zote 12?
Cheza za mechi chache chache, kama tano hivi, uwe unapata elfu hamsini hivi. Jackpot usiiwekee sana kipaumbele, ila si vibaya kuicheza mara moja kwa wikiBinafsi huwa sibeti na siku nikiamua kubeti huwa nataka nishinde mzigo wa maana. Kwa hiyo ama nitaweka pesa nyingi au nitabeti matokeo ambayo siyo mategemeo ya wengi (yenye odds kubwa sana) kama hisia zangu zinaniambia hivyo.
Siku hizi nimetokea kubeti zaidi hii Perfect 12 maana nikiangalia mkeka mzima ukikubali vishida vyangu vingi vidogo vidogo nitavimaliza. Mara nyingi natokea kupatia 5 hadi 6 kati ya hizo mechi 12.
Hivi kuna watu wanashindaga hii Perfect 12 kwa kupatia mechi zote 12?
Ngumu sana.Nimecheza sana sportpesa, betpawa jackport za 13, 17 n.k tiketi zaidi ya 10 ila huwa naishia 8/13 au 10/17
Hivi kinacholeta ugumu ni nini? Najua kupatia mechi 12+ zote si jambo dogo ila naona kama ni jambo linalowezekana hivi.Cheza za mechi chache chache, kama tano hivi, uwe unapata elfu hamsini hivi. Jackpot usiiwekee sana kipaumbele, ila si vibaya kuicheza mara moja kwa wiki
Ugumu unakuja pale underdog anapompiga mbabe, au anapokomaa na kupata sare. Sasa hiyo inaweza ikatokea kwa mechi kadhaa, na hapo ndipo mtu anapopotezaHivi kinacholeta ugumu ni nini? Najua kupatia mechi 12+ zote si jambo dogo ila naona kama ni jambo linalowezekana hivi.
Ngoja nitajaribu kubadili style ya uchezaji nione itakuwaje.
Kuna uzi nakumbuka tuliwahi kujadili kuhusu uwezekano wa hawa jamaa kuwa wanatupoteza maboya kwenye baadhi ya odds. Maana kwa hizi jackpots, wanachanganya na vitimu vingine hauvijui na viligi vyao vidogo, ukikazania kuangalia odds pekee bila kuzijua timu hasa, ni rahisi kupotezwa. Mimi naona kama hili nalo linachangia sana.Ugumu unakuja pale underdog anapompiga mbabe, au anapokomaa na kupata sare. Sasa hiyo inaweza ikatokea kwa mechi kadhaa, na hapo ndipo mtu anapopoteza
Kuna siku nilijipa homework ya kupitia misimamo ya ligi ili kukwepa utegemezi wa odds zao wanazotutegeshea, bado niliangukia puaKuna uzi nakumbuka tuliwahi kujadili kuhusu uwezekano wa hawa jamaa kuwa wanatupoteza maboya kwenye baadhi ya odds. Maana kwa hizi jackpots, wanachanganya na vitimu vingine hauvijui na viligi vyao vidogo, ukikazania kuangalia odds pekee bila kuzijua timu hasa, ni rahisi kupotezwa. Mimi naona kama hili nalo linachangia sana.
Napanga kufanya kautafiti kadogo kataniambia ukweli wa hili nililosema.
Kuna siku nilijipa homework ya kupitia misimamo ya ligi ili kukwepa utegemezi wa odds zao wanazotutegeshea, bado niliangukia pua
View attachment 3043156
Uliscreenshot odds walizoweka wao ili ulinganishe na matokeo? Maana tiketi wanayokupa haionyeshi odds zilivyokuwa kwa hiyo inakuwa ngumu kucheki.Kuna siku nilijipa homework ya kupitia misimamo ya ligi ili kukwepa utegemezi wa odds zao wanazotutegeshea, bado niliangukia pua
View attachment 3043156
Hilo nimeliona. Kwa idadi ya matokeo uliyopatia hauwezi kuyapata kwa kuchagua random au kwa kutegemea odds zao pekee.Lakini niliona kuna improvements kidogo kuliko kufuata odds zao moja kwa moja