Kwenye kushambulia Half-Space tumetoka pair ya Kibu/Onana tupo na Kibu/Mutale

Kwenye kushambulia Half-Space tumetoka pair ya Kibu/Onana tupo na Kibu/Mutale

SankaraBoukaka

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2019
Posts
1,213
Reaction score
1,918
Kwa soka la kisasa Half-Space ni sehemu vital sana kwenye kutengeneza na kufunga magoli...

Bahati mbaya sana hizo sehemu ndo tuna Kibu na Mutale. Unaweza kufurahia hivyo vigoli vyao vya kubahatisha wanavyofunga ambavyo havina mfumo ila in a long run hawa jamaa ni mzigo tu kwa timu, sababu hakunaga consistency kwenye kubahatisha unless uwe unapaka Mafuta ya Tembo.

Baada ya ujio wa Mpanzu nategemea kuwa kuna mchezaji mwingine asajiliwe pengine wa kubadilisha huu utaratibu wa kutegemea penati.

Lingine, sijamwelewa kocha kilichomfanya amtoe Fernandez badala ya Okajepha asiyekaba akatuletea mafuriko kiungo cha chini?
 
Back
Top Bottom