DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Kunawanaoomba msaada hata hiyo AI anakwambia umuingizie/umuwekee/umfanyie....🙁.
Ukimtumia nyaraka kwenye email azisome na kuprint anakwambia naomba niprintie huko ofisini kwako ntazipitia muda wa lanchi halafu utanielezea kunielewesha maana ya hizo nyaraka...🙄.
Usiache kujitoa ikiwa Una uwezo wa kufanya hivyo Fanya - ndo maisha yanatutaka hivyo .
Mimi napenda kuwa sehemu ya kuendeleza mambo zaidi .
So Madam endelea kuwajibika utazidi kuwa active than ever.