Kunawanaoomba msaada hata hiyo AI anakwambia umuingizie/umuwekee/umfanyie....π.
Ukimtumia nyaraka kwenye email azisome na kuprint anakwambia naomba niprintie huko ofisini kwako ntazipitia muda wa lanchi halafu utanielezea kunielewesha maana ya hizo nyaraka...π.