Kwenye mahusiano haulipwi ambacho unastahili, unalipwa ambacho umekubaliana nacho.

Kwenye mahusiano haulipwi ambacho unastahili, unalipwa ambacho umekubaliana nacho.

Natafuta Ajira

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2020
Posts
14,421
Reaction score
40,936
When it comes to relationship you don't get the woman you deserve. You get the woman you earn.

Twende sasa.

Wanaume wema, waelewa, wenye mioyo mizuri, nia njema na wanaoona uzuri tu kwa watu(nice guys). Mara nyingi wanaishia ku-settle na damaged women. Kweli au uongo? Kweli

Je wanastahili wanawake hao? Jibu ni hapana. They are cool, good and nice guys. They don't deserve such women actually, but they end up with them due to their inability to know and select better women for themselves.

Upande wa pili bad boys mara nyingi wanapoamua kutulia na kuoa wana-settle na wanawake wema. Kumbuka hii ni baada ya miaka mingi sana ya kufanya uharibifu kwenye dating pool.

Hawa bad boys wanastahili mwanamke mwema? Jibu ni hapana. The fact that they have smashed dozens of women, broke women's hearts or even damaged them. They deserve to end up with damaged women.

Si ndio karma inavyotuambia hivyo?

Lakini uwanja wa mahusiano sio moralistic. Haukupi kile unachostahili, unakupa kile ulicho-earn.

Sexual dynamics it doesn't reward the good guys and punish the bad ones. Rather it reward the bad boys and punishes the good guys, because bad boys have gained knowledge of women nature and psychology, so they are wise enough to know and pick the best of women. But nice guys lack game. It usually their destiny to end up with retired hoes and always at the mercy of such women.

You don't get what you deserve, you get what you negotiate.

Don’t be a simp.
 
Tuko busy na maandalizi ya sikukuu ya 77, tupumzisheni na mapenzi.
 
Kwani kuna kulipwa,mi nilijua ni kuishi tu na kusubiri kifo
 
Back
Top Bottom