Papa Mopao
JF-Expert Member
- Oct 7, 2009
- 4,153
- 2,647
Hivi ni kweli, mtu ambaye ana uhusiano wa kimapenzi na mtu mwingine, anadiriki kumwambia ampendaye hawezi kuongea pumba kwasababu anamwogopa, lkn kwa wengine anaongea pumba!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yea huwa inatokea, nadhan mtu umpendae hustahiri heshima, pia mazoea yaliyopita kiasi si mazuri ktk mahusiano, hugeuka kua dharau!Hivi ni kweli, mtu ambaye ana uhusiano wa kimapenzi na mtu mwingine, anadiriki kumwambia ampendaye hawezi kuongea pumba kwasababu anamwogopa, lkn kwa wengine anaongea pumba!