Kwenye maisha ukikosa backup unateseka sana

Weka mipaka hili jambo lilinitesa san leo utaabiwa hik kesho kile mara mtoto kameza hela, yaan ili mradi wachukue hela yako.
Niliweka mipaka ya kumsaidia ndugu saiv wanaomba msaada kwenye mambo ya muhimu uhai na kifo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…