Kwenye maisha usije kumdharau mtu

Mimi huyu mo deji nilikuwa namuonea shuleni.ilikuwa akija shule na baskeli yake nachukua kibabe naendesha.leo hii similiki ata pagala mwenzangu anamiliki timu kubwa kbs.daahh
Duh!
 
Sasa hapa maswala ya arusha yamekujaje? Halafu sasa hivi kuna hii tabia ya ubaguzi wa kikabila inaanza kuota makucha,hali itakuwa mbaya siku zinavyokuja
Hilo swala ni mtihani sana kwa kweli..ubaguzi sio mzuri wala haifai kuujadilia kabisa
 
Fanya kazi wewe mkaldayo acha porojo jamvin.πŸ˜‚
 
Kweli Kabisa mkuu
 
Ndo maisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…