PerfectTz
Senior Member
- Jun 27, 2019
- 108
- 206
Tabu,shida na changamoto zako ndio sababu ya wewe kutafuta mafanikio zikubali alafu zikabili...na kumbuka mshukuru Mungu kwamba amekuwa mwenye fadhila, Rehema na kukupendelea kipekee.
Neno gani lingine faraja unalolijua kwa ajili ya wapambanaji wenzako humu? Drop your comments twende sawa
Neno gani lingine faraja unalolijua kwa ajili ya wapambanaji wenzako humu? Drop your comments twende sawa