Hiyo siyo mrahaba, ni kishika uchumba ambapo ulikuwa hata haufahamu. Maelezo yako hayakuwa kweli.Unauliza hili swali sababu ulifungua uzi hujui A to Z ya unachoilalamikia serikali. Kama ungejua wala usingeuliza na huo sio mrahaba ndio maana nakuambia hujui kitu.
Nilikujibu vizuri kabisa baada ya Accacia kupewa bill ya kodi Usd190 bil mazungumzo yalikwama. Barrick waliingilia kati na kusema wanatoa Bil 700 kama kishika uchumba ili mazungumzo yaendelee. Na baada ya mazungumzo kufanyika ndio imezaliwa Twiga minerals ltd ndio maana unaona yanasafirishwa. Bila kuwepo Twiga minerals ingekuwa vurugu.Mimi naona umeanza kusafirishwa tena. Ndo sababu kuu haswa ya kutaka kujuwa kama mapendekezo yaliweza kufikiwa, pamoja na mengineyo.
Barrick Gold walipoingilia kati, waliwasaidia sana mafisadi ambao walishirikiana na Acacia hapo mwanzo.Nilikujibu vizuri kabisa baada ya Accacia kupewa bill ya kodi Usd190 bil mazungumzo yalikwama. Barrick waliingilia kati na kusema wanatoa Bil 700 kama kishika uchumba ili mazungumzo yaendelee. Na baada ya mazungumzo kufanyika ndio imezaliwa Twiga minerals ltd ndio maana unaona yanasafirishwa. Bila kuwepo Twiga minerals ingekuwa vurugu.
Mapendekezo ya tume yote 21 unayo na walitajwa. Labda weka majina yao hapa tujue wako wapi? Kama wako rumande au la?chagu wa malunde unacheka nini mkuu? Walioingia deal na Acacia wakatusabishia hizo hasara wako wapi?
As has been widely reported, for the past two years, Barrick has been endeavoring to seek a settlement of Acacia’s disputes with the Government of Tanzania (the “GoT”) and to find a workable tax and regulatory framework for Acacia going forward. Due to requirements of the GoT, Acacia has not been able to participate in these meetings, but Barrick has been working in good faith with the consent and support of Acacia and the Independent Directors. Barrick has provided regular updates to the Independent Directors and Acacia management as well as the opportunity to review and comment on documentation flowing from these negotiations. The negotiations with the GoT have advanced to the point where draft documentation now has been initialed by the GoT, albeit with a number of substantive issues still outstanding.
The GoT has, however, now made it clear that it is not prepared to enter into settlement agreements directly with Acacia. In Barrick’s view, it is now clear that the relationship of Acacia with the GoT has been so damaged by the events that led to the concentrate ban being imposed by the GoT in March 2017 and by the subsequent arbitration proceedings initiated by Acacia against the GoT, that it is no longer possible for Acacia to continue to function as an independent public company, with substantially all of its value represented by assets in Tanzania.
Further Update Concerning Acacia Mining plc – Situation in Tanzania and Review of Acacia Mine Plans
Kweli ndo maana naipenda JF! Hapa maswali hayakwepeki! Si unaona wanachungulia na kusepa? Mtaani ndo wanakudhibiti kwa jina la “usaliti”Magamba hawapendi haya mswa;li magumu ukiwatinga sn wanakuteka unapotea.........Mfano waulize zilipo trillion 1.5 uone wanavokukanzaga utasikia polepole alifundisha....mbwa kabisa hawa jamaaa wanaharibu nchi
Professorial Rubish!!!!!
Serikali ilifanya uchunguzi wa kina, waliokutwa na hatia walishitakiwa, wakakiri makosa, wakahukumiwa.
P
Mtu mwenye akili timamu utauliza habari za tril 1.5? Wakati majibu yalishatoka siku nyingi tu, na PAC walifafanua vizuri tu. Au ndio upumbavu uliokomaa?Magamba hawapendi haya mswa;li magumu ukiwatinga sn wanakuteka unapotea.........Mfano waulize zilipo trillion 1.5 uone wanavokukanzaga utasikia polepole alifundisha....mbwa kabisa hawa jamaaa wanaharibu nchi
Professorial Rubish!!!!!
Naunga mkono hoja.Kwa muda wote huo uliokuwa kimya nilitegemea uje na analysis namna gani mapendekezo hayo 21 hayajafanyiwa kazi,na usanii gani umefanyika. Ukichambua moja baada ya moja. Kuliko kuweka link za ambayo ni habari tu juu ya serikali ya Tanzania kusitisha kusafirisha makinikia.
Jipange kabla ya kuanza kuikosoa serikali.
Naunga mkono hoja, kwenye issue hii mezani, kiukweli mtoa mada ni kweupe sana!.Unauliza hili swali sababu ulifungua uzi hujui A to Z ya unachoilalamikia serikali. Kama ungejua wala usingeuliza na huo sio mrahaba ndio maana nakuambia hujui kitu.
No usiwatukane pumbavu, hawa ni wajinga tuu, wakielimishwa ujinga wao utawatoka na watakuwa werevu, lakini mpumbavu ni yule ambaye haelimishiki!.Mtu mwenye akili timamu utauliza habari za tril 1.5? Wakati majibu yalishatoka siku nyingi tu, na PAC walifafanua vizuri tu. Au ndio upumbavu uliokomaa?
Hapana! Hawa sio wajinga bali ni wapumbavu kwa sababu maandiko yao yanaonyesha wanajua wanachokiandika!No usiwatukane pumbavu, hawa ni wajinga tuu, wakielimishwa ujinga wao utawatoka na watakuwa werevu, lakini mpumbavu ni yule ambaye haelimishiki!.
P
Mkuu J Mushi, kwanza naomba nikupe pole kwasababu hii hoja ya 50/50 ni complex issue ambayoHivi “ecomic benefits” si ndo kama “corporate responsibility”? Pascal Mayalla
Nauliza hili swali, kwasababu kampuni yetu ya Twiga, ina share 50/50 kwenye management pamoja na economic benefits!
Kabla sijaendelea, nilitaka nifahamu kama tuko ukurasa mmoja. Maana naona kuna anayetaka kuharibu hapa.
Asante sana mkuu!🙏🏾Mkuu J Mushi, kwanza naomba nikupe pole kwasababu hii hoja ya 50/50 ni complex issue ambayo
NB. ili kuuelewa utaratibu huu, lazima uwe na kichwa chenye uelewa wa mahesabu ya kihivyo, bahati nzuri sana kwa Tanzania, rais Magufuli ni mtu mwenye kichwa cha uelewa huu, japo very unfortunately Mwalimu wangu Prof. Kabudi ambaye ni kichwa mbaya, GPA yake ya 4.9 pale UDSM bado inashikilia rekodi ya UDSM tangu kuanzishwa haijawahi kuvunjwa mpaka kesho, ila na yeye mwanzo hakujua tofauti ya economic benefits na profits, ila sisi wanafunzi wake tena wa PASS tuu, tulisaidia kupitia humu humu jf, na somo likaeleweka.
- Watanzania wengi hawaielewi kutokana na kutokuzoea biashara za hisa kwenye the corporate world. Sisi tumezoea simple business, this is corporate business.
- Sikulaumu wewe, kwasababu ile siku tunatangaziwa makubaliano haya pale Ikulu, hata chief negotiator wetu, Prof. Kabudi alikuwa hajui economic benefits, hivyo akatangaza kuwa tutagawa faida, profits na akamweleza rais Magufuli hivyo na rais Magufuli akalitangazia taifa, kuwa tutagawana faida 50/50.
- Faida ni profits inapatikana baada ya kutoa kodi zote, na gharama zote za uendeshaji. Faida hii inagawanywa kwa uwiano wa hisa, yaani shares ratio, hivyo kwenye mgawanyo wa faida, Barrick wenye 84% shares watapata 84% ya net profits na sisi Tanzania tutapata 16% ya net profits.
- Economic benefits ni manufaa ya kiuchumi, na sio CSR kama ulivyoeleza wewe, na huu ndio uthibitisho unajadili kitu usichokijua, sikuiti mjinga kwasababu kutojua kitu sio kosa, muhimu ni kama unajua kitu, muelimishe asie jua.
- CSR ni Community Social Responsibility ambayo wawekezaji wote, makampuni yote na wafanyabiashara wote wana wajibu wa kurejesha sehemu ya faida kwa jamii inayowazunguka. Hata mimi na kale kampuni kangu ka PPR, wakati wa maonyesho ya Saba Saba na Nane Nane, huwa ninatengeneza faida kubwa, hivyo kurudisha kwenye jamii, huwa nafanya matangazo ya bure kwa wananchi wa kawaida ambayo yatalisaidia taifa.
- Economic benefits ni faida za kiuchumi zinazotokana na biashara husika. Hii inajumuisha faida zote ambazo Tanzania itapata kutokana na migodi hii, ambazo zinajuiisha kodi zote, royalties, CSR na ile 16% ya free carried shares zetu.
- Tunachogawana 50/50 ni economic benefits na sio net profits. Hivyo katika mgawanyo huo, namna ya kugawana ni kwanza kutoa gharama zote za uendeshaji na kodi zote za serikali. Kisha kutenga ile faida ya shares 84% ya Barrick na kuiweka pembeni.
- Unachukua ile faida ya shares zetu 16%, unajumlisha kodi zote, unajumlisha royalties, unajumlisha gharama zote za CSR, ukiisha pata unaweka pembeni.
- Kisha sasa unalinganisha kile kilichopatikana kwenye ile 84% ya shares za Barrick ambacho Canada anachukua, na kulinganisha na kile Tanzania tunachopata kwa ile 16% yetu, ukijumlisha na kodi zote za serikali, ukijumlisha na royalties, ukijumlisha na CSR.
- Ikitokea faida ya shares 84% ya Barrick ni kubwa kuliko Tanzania tulichopata, then inachukuliwa hesabu ya jumla ya faida yote ya ile 84% ya faida za shares za Barrick, unatoa mapato yote Tanzania tuliyofaidika nayo, kisha the difference ya mapato ya ziada ya Barrick, yanagawanywa pasu kwa pasu, 50/50, kati ya Tanzania na Barrick, kea Barrick kuimegea Tanzania kiasi za ziada ili kila mmoja awe amefaidika kwa 50/50.
Je, wajua kuna uwezekano Barrick wanatuingiza mkenge?!. Hili la kugawana 50/50 ya faida ni kweli au ni changa la macho tu?.
P
Yale mapendekezo 21 siyaoni tena, na hayo madini walisema yamo kwenye makinikia naona editing! Kaazi kweli kweli! Lakini nina uhakika nitapata sources nyingine.
cc Nguruvi3 tindo Pascal Mayalla chagu wa malunde