Mkuu si uonyeshe huo werevu wako ili sisi wapumbavu tuonekane huo upumbavu wetu? Maana mtu hawezi kuwa mpumbavu kwasababu wewe tu umesema, who are you?Hapana! Hawa sio wajinga bali ni wapumbavu kwa sababu maandiko yao yanaonyesha wanajua wanachokiandika!
Yalikuwepo jana tu, toka siku naanzisha hii thread, mwenye hiyo link inaonekana kapita hapa! Labda ameogopa asitumbuliwe, au labda amoena imegeuka dhidi yao badala ya kuwa ni propaganda!😀🤦🏾♂️Huwezi kuona chochote, huoni ndio maana Paskali kaishia kupanick baada ya kuona watu wanahoji yasiyokuwa na majibu?
Lazima ufahamu kuwa alichokifanya jpm ni kujitoa muhanga kuamua kumtia kashkash simba aliyevamia zizi la mbuzi ili angalau ajeruhi tu,tungemfuata lissu tusingefanikiwa,hii ni mfano wa sheria za madai MTU ukimdai anakuzungusha,sheria ipo inataka uhende mahakamani lakini kuipata itakuwa ni story,ila ukimvutia kwa afande fasta inatoka kila mtu anaendelea na mingo .Maendeleo ya nchi yanahitaji mipango. Ukilazimisha unapata hasara. Zote hizi ni propaganda tu! Wao ndo wamesaini mikataba na hata sasa ni siri bado!
Amejitoa muhanga kivipi na wakati makosa tulifanya sisi wenyewe? Umesoma na kuelewa vyema? Au umelishwa propaganda?Lazima ufahamu kuwa alichokifanya jpm ni kujitoa muhanga kuamua kumtia kashkash simba aliyevamia zizi la mbuzi ili angalau ajeruhi tu,tungemfuata lissu tusingefanikiwa,hii ni mfano wa sheria za madai MTU ukimdai anakuzungusha,sheria ipo inataka uhende mahakamani lakini kuipata itakuwa ni story,ila ukimvutia kwa afande fasta inatoka kila mtu anaendelea na mingo .
Majibu yapo wazi kabisa tindoHuwezi kuona chochote, huoni ndio maana Paskali kaishia kupanick baada ya kuona watu wanahoji yasiyokuwa na majibu?
Uwazi wa namna gani? Ichapishwe kwenye gazeti au?chagu wa malunde , nimepitia hii link mpya, sasa nimefikia namba 15. Hayo mengine mengi ni uongo uongo tu.
15. Mikataba yote iwe wazi
hapo vipi? Mbona mikataba haiko wazi?
Na mimi namquote kuwa majibu juu ya hoja uliyoibua kuwa mapendekezo ya tume ya Prof Osolo ni usanii na hayatekelezeki yapo.Majibu gani yako wazi? Kumbuka tindo alikuwa akini quote mimi.
Fafanua tu kwamba tume ilipendekeza mikataba iwe wazi kwa wananchi kwa namna gani? Ichapwe kwenye gazeti au? Kuhusu majibu ya hoja zako lipo wazi kabisa yanajibika.Majibu gani yako wazi? Kumbuka tindo alikuwa akini quote mimi.
Una uhakika haujapekekwa bungeni? Maana hata sheria ya 2017, Natural wealth and resources contract(review and negotiationa of unconsciable terms m) Act. Inasema bunge ndio inatakiwa ijadili hii mikataba iliyo na mapungufu.Bungeni
Utakuwa unarudi kinyumanyuma wakati uliomba msaada kwenye tuta na Pasco akakusaidia. Nimeshakuambia baada ya mazunguzo ya serikali yetu na Accacia kukwama juu ya kodi ya usd bil190. Barrick waliingilia kati wakaiuza Accacia na wakaahidi kutoa Bil 700 kama kishika uchumba. Baada ya hapo mazungumzo yalilejea na ikazaliwa kampuni inayoitwa Twiga minerals ltd. Ambayo imesababisha mgogoro kuisha. Hayo mapendekezo ya Prof Osolo achana nayo. Unajiabisha maana unazumguzia suala ambalo ni hadithi tena.Yanayotekelezeka ni mangapi?