Kwenye mapendekezo 21 ya ripoti ya Kamati ya Professor Osoro, yapi yana ukweli, yapi si ya kweli? Tumeshatekeleza mangapi? Makinikia ilikuwa usanii?

Hey

Kweli ndo maana naipenda JF! Hapa maswali hayakwepeki! Si unaona wanachungulia na kusepa? Mtaani ndo wanakudhibiti kwa jina la “usaliti”
Hayafai haya majitu...... Wako tayari kuniapiza hadharani kuua watz wengine na vyombo vya dola vipo kimya kabisa
 
Mtu mwenye akili timamu utauliza habari za tril 1.5? Wakati majibu yalishatoka siku nyingi tu, na PAC walifafanua vizuri tu. Au ndio upumbavu uliokomaa?
Nyie mbwa kabisa....... Kwamba serikali haiwezi kutoa majibu kwa cag mpaka mkuu anamtisha wkt yy kafanya kazi ya kizalendo?

Sawa ww wakala nisaidie hiyo riport unayosema ipo kwani ni siri?

Sisi watz ndio tunatakiwa kuwa na hiyo report sisi tunayo ya cag maana yake na nyie wala nchi mnayo ya kwemu.

Iweke hadharani basi
 
Mkuu umemjibu vyema kabisa!

Kama wao ni wazalendo kiukweli, kwanini iwe siri?

Maovu ndiyo hufanywa sirini na kuwa ni siri. Kama kuna manufaaa kwetu watanzania na siyo mabeberu kama wanavyotaka tuamini, kwanini iwe siri?

Baada ya shambulizi la Lissu na kusikia akiitwa msaliti, nilijiamulia kulifuatilia suala hili kwa undani ili niweze kuona ukweli wangu kabla sijaamuwa kumchukia Lissu.
 
Mkuu umemjibu vyema kabisa!

Kama wao ni wazalendo kiukweli, kwanini iwe siri?

Maovu ndiyo hufanywa sirini na kuwa ni siri. Kama kuna manufaaa kwetu watanzania na siyo mabeberu kama wanavyotaka tuamini, kwanini iwe siri?

Baada ya sham ulinzi pa Lissu na kusikia akiitwa msaliti, nilijiamulia kulifuatilia suala hili kwa undani ili niweze kuona ukweli wangu kabla sijaamuwa kumchukia Lissu.
Maccm km hayana akili timamu...... Sijui ya yatumia nn kufikiri
 
Mataga ni manyumbu.......

Alafu ule msemo wao kua yajayo yanafurahisha mbona hawasemi tena? Wamepigwa spana chama kinaendeshwa kwa rimoti from chatoollooool

Wengi wa wanaccm wanasubiri kutafuniwa! Na hivyo yana Sangare’s tu kama manyumbu!
 
Mataga ni manyumbu.......

Alafu ule msemo wao kua yajayo yanafurahisha mbona hawasemi tena? Wamepigwa spana chama kinaendeshwa kwa rimoti from chatoollooool
Mkuu wana hofu kubwa mno na wame panic kabisa siyo siri hata mtoto wa miaka mitano anaweza kuliona hilo.

Lakini hiki kimbunga, hakitawaacha salama! Maana wamechanganyikiwa ni kivipi baada ya miaka minne ya propaganda, lakini mambo ni mabaya sana kwa upande wao!

Mfano wakifikiria hilo, halafu ukichanganya na mapesa yaliyotumika kuwanunua wale vilaza wachumia tumbo!

Siyo tu kwamba hawasemi tena “yajayo yanafurahisha”, sasa hivi wamebakia kuanza kufananisha nyomi sijui ya Lissu vs Lowassa!

Naona wanaota hawa! Oh nimesahau, manyumbu.🤦🏾‍♂️
 
Kati ya mambo yote anayoomgeaga magufuli ni maneno machache sn amewahi kuongea ya maana na mm nikamkubali....
Alisema: WATZ SIO WAJINGA✌️✌️
 
Lakini matendo yake yanaonyesha tofauti kabisa? Yani kama vile anadhani watanzania ni wajinga kabisa na hawawezi kufanya maamuzi sahihi wao wenyewe! Ndiyo maana uhuru wa habari hakuna na kukosolewa!
 
Ni mtu ambae yukoKarne ya 13 ya kuamini kwenye mabavu😒😒
 
Lissu amepigilia msumari kwenye hii thread! Kasoro taarifa za huyo David Mwanyika, ambaye alijifanya kuwa ni mwathirika wa vita ya kiuchumi. Kwasababu yeye ndo alikuwa mwenyekiti wa Acacia Africa. Walitengeneza mazingira kwa uongo na propaganda zilizoanzia kwenye utapeli wa kishika uchumba ambapo kila mmoja angelamba Noah yake.
 
Hahaa....... Htr sn
Jamaa David Mwanyika baada ya kubanwa, akamgeuka Tundu Lissu ambaye alimsikitikia kwa makosa ya kubambikiwa! Lakini serikali ikaunganisha na uongo wa kishika uchumba, kwamba Lissu anatetea mabeberu. Serikali yenyewe ikaingia makubaliano na Barrick Gold na sasa Mwanyika ni mgombea ubunge kwa tiketi ya ccm.
 
Back
Top Bottom