Phobia
JF-Expert Member
- Mar 29, 2021
- 1,156
- 1,819
Kwenye mashirika haya wakuu kuna unafiki,majungu na uzandiki nimechoka aisee na watu wanaongoza kwenye majungu ni wale wenzetu wa ukerewe yaani sio poa kabisa sema tu mimi ni blessed man ukinipiga majungu ndiyo kwanza nazidi kusifiwa na kila mtu yaani imefikia hatua naomba watu wanipige majungu ili nipewe simu ama hakika wadau napenda nipigwe majungu
Cha kushangaza sasa hao watu wanaonipiga majungu mshahara ukichelewa ndiyo watu namba moja kuja kunikopa na kuja kulalamika shida mimi nawaona mburula ninachofanya ni kuwatukana na kuwa pesa kwa Riba ya asilimia 35 akili iwakae sawa dadeki