Kwenye mashirika kuna uzandiki,unafiki na majungu ya kufa mtu

Phobia

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2021
Posts
1,156
Reaction score
1,819
Kwenye mashirika haya wakuu kuna unafiki,majungu na uzandiki nimechoka aisee na watu wanaongoza kwenye majungu ni wale wenzetu wa ukerewe yaani sio poa kabisa sema tu mimi ni blessed man ukinipiga majungu ndiyo kwanza nazidi kusifiwa na kila mtu yaani imefikia hatua naomba watu wanipige majungu ili nipewe simu ama hakika wadau napenda nipigwe majungu

Cha kushangaza sasa hao watu wanaonipiga majungu mshahara ukichelewa ndiyo watu namba moja kuja kunikopa na kuja kulalamika shida mimi nawaona mburula ninachofanya ni kuwatukana na kuwa pesa kwa Riba ya asilimia 35 akili iwakae sawa dadeki
 
Hayo ni mashirika au unazungumzia ofisi za uma na binafsi?


International organizations and Well structured local organization majungu ni kidogo kazi mbele sababu hawaangalii majungu zaidi ya kazi. Japo majungu yanakuwepo ila kwa kiasi kidogo


Sasa taasisi zingine unakuta kuna ukanda, ukabila ,watu wasioelimika

#tafuta mashirika yalio well structured

Huko kwa kupita tu


Maoni tu
 
Unalifahamu MDH? Wafanyakazi ngazi za juu ni nani?
 
Well structured, unamaanisha nini?
Ulishasikia kitu inaitwa "' Divide and rule?"'
Nadhani wenye hiyo lugha ndio waanzilishi wa majungu. Nina miaka zaidi ya 20 kwenye hizo kampuni
so called well structured,ila majungu ni kama kawa.
Tuseme neno moja walilokwisha sema wengine hapo juu kuwa,penye riziki hapakosi fitina.
wewe tazama lako ,piga kazi jioni rudi kwako furahia maisha na familia yako.
 
Ni wakerewe au wahaya manake hawa jamaa wana fitna balaa!
 
Cheza kama pele hapo kazini hatua inayofuata utaanza kutafutwa ufukuzishwe kazi ,kuwa makini sana.Kapipi mwanaharamu.
 
Blessed man huwa hatangazi changamoto za kazini kwake kwasababu hizo changamoto hazimuhsu ila zinawahusu non blessed na lengo la majungu ni kumyoa mtu au kmshusha cheo mahala pa kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…