funaku
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 39,468
- 31,952
Nitakukumbuka daima Mheshimiwa Rais. Nitakukumbuka kwa ujasiri wa kipekee. Nitakukumbuka kwa kutuonesha njia na kutuaminisha kuwa sisi ni watu kama walivyo watu wengine duniani...yaani tuna akili, tunajua kuzitumia na tuna mahitaji.
Mheshimiwa Rais umetuonesha kuacha ubinafsi na tufanye kazi kwa maslahi ya umma!!
We did it!We can do more n more!
Sisi vijana wako tupo front kwani umekuwa KILOMBOLA (Yaani muonesha njia) kazi yetu ni kuifuata.
#HAPAKAZITU