baki njia kuu mwana!
Nchi hii inaitwa CCM!Mkuu katuvusha au kawavusha wanaccm?
Nchi hii inaitwa CCM!
Kwa hili sifa zake apewe vita ya uchumi sio rahisi!
Katuvusha watanzania na CCM
ambao ni wengi..
Lisu alikuwa analipwa kama mwanasheria ...hiyo issue ya kupigania haipoHiyo mikataba iliingiwa na serikali ya CCM,
Na kwa akili zangu haiingii akilini mtu kumiliki asilimia 16 halafu kwenye mapato ugawiwe asilimia 50.
Yetu macho lakini naona tumepigwa.
Akina lisu tokea 1991 walikuwa wanapigania asilimia 50 kwenye mikataba ya madini akina mkapa wakamweka ndani.
Utapeli mtupu...hakuna lolote misifa tu.Ogopa sn watu wanaopenda micamera na kusfiwa muda wote.Kila siku anawaza kufake ili tu kucapture public attention.Mazuri yapo na mabaya yapo mengi sana.Anachokera ni mbwembwe nyingi,usanii ubabe na kutofikiri kabla ya kutenda.Kama utakumbuka diwani athuman alitumbuliwa kwa mbwembwe kulikojaa ukurupukaji.Napata taabu kuamini kuwa urais kwa sasa ni taasis kwan mambo mengi ya kukurupuka yasingekwepo angesaidiwa kuwaza kabla ya kutenda.Usishangae hata akina andengenye amekurupuka tu ili apate kick kwa ummaNitakukumbuka daima Mheshimiwa Rais. Nitakukumbuka kwa ujasiri wa kipekee. Nitakukumbuka kwa kutuonesha njia na kutuaminisha kuwa sisi ni watu kama walivyo watu wengine duniani...yaani tuna akili, tunajua kuzitumia na tuna mahitaji.
Mheshimiwa Rais umetuonesha kuacha ubinafsi na tufanye kazi kwa maslahi ya umma!!
We did it!We can do more n more!
Sisi vijana wako tupo front kwani umekuwa KILOMBOLA (Yaani muonesha njia) kazi yetu ni kuifuata.
#HAPAKAZITU
Una upungufu wa taarifa?Utapeli mtupu...hakuna lolote misifa tu.Ogopa sn watu wanaopenda micamera na kusfiwa muda wote.Kila siku anawaza kufake ili tu kucapture public attention.Mazuri yapo na mabaya yapo mengi sana.Anachokera ni mbwembwe nyingi,usanii ubabe na kutofikiri kabla ya kutenda.Kama utakumbuka diwani athuman alitumbuliwa kwa mbwembwe kulikojaa ukurupukaji.Napata taabu kuamini kuwa urais kwa sasa ni taasis kwan mambo mengi ya kukurupuka yasingekwepo angesaidiwa kuwaza kabla ya kutenda.Usishangae hata akina andengenye amekurupuka tu ili apate kick kwa umma