Kwenye maslahi ya Rasilimali za nchi, Magufuli ametuvusha salama

Endelea na kazi yako ya uvuvuzera.Achana na maswali kijinga.Tangu lini vuvuzera akawa well informed?
Vuvuzera ndio nini?Kwa muandiko wako unaendelea kuthibitisha kuwa huna taarifa
 
Huwa najiuliza akimaliza akina Lugola si wataota kama uyoga? This guy will never happen again in our life time na hapo ndo unafiki wa watanzania utakapojidhihirisha
 
Toka kwenye mrahaba wa 3% baada ya kutoa gharama zote za uendeshaji, mpaka umiliki wa hiyo 16% na 50/50 ya faida, makao makuu Mwanza, na mengineyo wewe huoni kuwa hayo ni mafanikio? Ama kweli wahenga walisema, wajinga ndio waliwao!
Huyo msaliti acha kumwingiza kwenye mijadala ya maana. Yeye si ndiye juzi aliweka kambi huko huko kutushitaki kwa mabwana zake ili tusifanikiwe?!
 
hongera laizer billionea la Simanjiro
 
Tangulia Jemedari lala kwa amani
#March17spirit
 
rest in peace Magufuli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…