Kwenye mchezo au sanaa ya karate kata zina umuhimu gani kwenye mapigano

Jifunze kickboxing & Jeet kune do. Tofauti na hapo jifunze combination of karate (combat karate)

Ishi humo maisha yako yote

Achana na shotokan
 
Mimi nimecheza michezo mitatu gujuruu na ashiara badae nikafanya judo niulize chochote kwenye maeneo hayo
 
Jifunze kickboxing & Jeet kune do. Tofauti na hapo jifunze combination of karate (combat karate)

Ishi humo maisha yako yote

Achana na shotokan
Combat karate ya wajeda hahaha

Sawa mkuu asante kwa ushauri
 
Combat karate ya wajeda hahaha

Sawa mkuu asante kwa ushauri
Ndio mkuu Kama unataka kwa ajili ya self defense jifue hizo, Kuna michezo mingine unaweza kuiva Sana lakin ukwa poor kwenye self efense.

Combat karate imecombain all of karate na ndio karate ngumu kuliko zote.
 
Sawa bro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…