- Thread starter
- #21
Yeah bro self defence kiakili muhimu sanaself defence kimwili pia kiakili kuwa active 24hours hata kama umelala usingizi wa kifo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah bro self defence kiakili muhimu sanaself defence kimwili pia kiakili kuwa active 24hours hata kama umelala usingizi wa kifo
Combat karate ya wajeda hahahaJifunze kickboxing & Jeet kune do. Tofauti na hapo jifunze combination of karate (combat karate)
Ishi humo maisha yako yote
Achana na shotokan
Oyah mkuu nakufwata pm unipe maelekezoMimi nimecheza michezo mitatu gujuruu na ashiara badae nikafanya judo niulize chochote kwenye maeneo hayo
Ndio mkuu Kama unataka kwa ajili ya self defense jifue hizo, Kuna michezo mingine unaweza kuiva Sana lakin ukwa poor kwenye self efense.Combat karate ya wajeda hahaha
Sawa mkuu asante kwa ushauri
Sawa broNdio mkuu Kama unataka kwa ajili ya self defense jifue hizo, Kuna michezo mingine unaweza kuiva Sana lakin ukwa poor kwenye self efense.
Combat karate imecombain all of karate na ndio karate ngumu kuliko zote.