kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
you can say soMallya
Sheria ni Pana and it's dynamic. Kuna watu wame specialize kwenye civil, wengine criminal, kuna corporate, kuna human rights (hawa wengi ni wana harakati eg Kambole) na field nyingine za Sheri kama labour, banking n etc. Pia kuna litigants either in civil or criminal na kuna sie corporate lawyers ambao ukituoana mahakamani labda ni kwenye kutoa ushahid tu au kualikwa as amicus curiae .Mnatumia kigezo kipi kupima ubora wa mwanasheria?
I too, am a lawyer but I don't practise criminal law. Nafanya zaidi commercial particularly insurance. Sasa huwa ninajiuliza hawa laypersons kupima ubora wa mwanasheria wabatumia nini? Huwa ninashangaa sana nionapo hivi vituko vya kusema kwamba fulani ni mwanasheria bora kuliko fulani. All in all nadhani shida hapa huwa ni mihemko kuliko uelewa kuwa sheria ni pana sana kama ambavyo medicine iko pana sanaSheria ni Pana and it's dynamic. Kuna watu wame specialize kwenye civil, wengine criminal, kuna corporate, kuna human rights (hawa wengi ni wana harakati eg Kambole) na field nyingine za Sheri kama labour, banking n etc. Pia kuna litigants either in civil or criminal na kuna sie corporate lawyers ambao ukituoana mahakamani labda ni kwenye kutoa ushahid tu au kualikwa as amicus curiae .
😊😊😊😊 sawa mkuunenda makataba ya mahakama ukapitie kesi walizosimamia. ndipo utajua wala usikaze misuli kubishana humu
eti case za prosecution na case za defence. Na unajiona umechangia kitu. Pigeni ban ya maisha hili utopoloNiliwahi kumuuliza wakili msomi mmoja swali hili...Majibu yake ni kwamba kwa ujuzi wake wote ni wazuri ila kibatala yeye anamuona mzuri zaidi kwa sababu ameshinda kesi za prosecution kuliko lisu ambaye ameshinda kesi nyingi za defence hivyo yeye anaona kesi za prosecution ni ngumu zaidi hivyo anampendekeza kibatala.
Sawa mjumbe, povu lako natumaini litazingatiwa kwa heshima zote.eti case za prosecution na case za defence. Na unajiona umechangia kitu. Pigeni ban ya maisha hili utopolo
Maswali ya kitoto muwe mnaulizana hukohuko hostelSitaki maoni mi nataka a au b
A. KIBATALA.
B. LISSU.
Mkuu ulitaka kumaanisha nini hapa? Maana daah, kemikali ulizochanganya hapa zinaelekea kuleta mlipuko wenye kufanana na atomic bombNiliwahi kumuuliza wakili msomi mmoja swali hili...Majibu yake ni kwamba kwa ujuzi wake wote ni wazuri ila kibatala yeye anamuona mzuri zaidi kwa sababu ameshinda kesi za prosecution kuliko lisu ambaye ameshinda kesi nyingi za defence hivyo yeye anaona kesi za prosecution ni ngumu zaidi hivyo anampendekeza kibatala.
Mkuu usututukane bas,I too, am a lawyer but I don't practise criminal law. Nafanya zaidi commercial particularly insurance. Sasa huwa ninajiuliza hawa laypersons kupima ubora wa mwanasheria wabatumia nini? Huwa ninashangaa sana nionapo hivi vituko vya kusema kwamba fulani ni mwanasheria bora kuliko fulani. All in all nadhani shida hapa huwa ni mihemko kuliko uelewa kuwa sheria ni pana sana kama ambavyo medicine iko pana sana
Mkuu, kuna tusi lolote hapo!? My sincere apologies kama my words have offended you anyhowMkuu usututukane bas,
Sawa sisi ma lay kwenye sheria na we ukiumwa unaleta tako tukuhudumie,
Tuelekeze tu tusioyajua katika fani yako.
Mkuu hujanielewa kabisa content nzima au sehemu gani yenye tatanishi ili nijaribu kueleza?Mkuu ulitaka kumaanisha nini hapa? Maana daah, kemikali ulizochanganya hapa zinaelekea kuleta mlipuko wenye kufanana na atomic bomb
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]eti case za prosecution na case za defence. Na unajiona umechangia kitu. Pigeni ban ya maisha hili utopolo
Nimecheka sana... Nishtue na mimi nijue alipotupiga kamba maana nilishaingiza ubongoni mwangu hiyo tayarieti case za prosecution na case za defence. Na unajiona umechangia kitu. Pigeni ban ya maisha hili utopolo
Aina za kesi ziko mbili: kesi za madai na kesi za jinai.Nimecheka sana... Nishtue na mimi nijue alipotupiga kamba maana nilishaingiza ubongoni mwangu hiyo tayari
Unaposema kesi za prosecution na kesi za defence unamaanisha nini? Wewe mwenyewe maelezo yako uliyoyaweka unaona yanaeleweka Mkuu? Sometimes kama mambo hamyajui msidandie kwa sababu tu ya ushabiki wa mahaba. Mwisho wa siku mnaonekana kuwa vituko tuMkuu hujanielewa kabisa content nzima au sehemu gani yenye tatanishi ili nijaribu kueleza?
Jibu hoja zake povu siojibu la shida zakoeti case za prosecution na case za defence. Na unajiona umechangia kitu. Pigeni ban ya maisha hili utopolo
Lissu dunia au mataifa mengine yanamjua kulingana na shule alizosomea hadi kufikia hapo alipo huyo kibatala kama sio cdm na kesi kesi anazosimamia wala hajulikani /asingejulikanaWanaJF Naomba mnisaidie Kati ya hawa manguli kibatala na Lissu na mkali zaidi ambae hashindwi kesi kirahisi na ambae anaogopeka sana na mawakili na mahakimu.
Lisu ni level nyingine.Ubora wa mwasheria au wakili bora hupimwa kwa kesi walizosimamia
Tuweke mathalani kesi 10 kila mmoja za maana tuone hapo
.binafsi kwa kuzingatia haya namuona kibatala kuwa bora zaid lisu aliniangusha tu ambavyo alishindwa hata kujitetea kwa naibu spika aliposimamishwa kazi bungeni
Lisu ni muongeaji tu