Mtoa mada,wanasheria wapo wa aina nyingi sana! Mfano unakuta huyu mzuri kwenye Criminal,lakini kwenye Katiba sio mzuri sana,mwingine kwenye Business law ni balaa,mwingine kwenye mikataba ni hatari mno! Hivi unajua kama Mzee Chenge ni moja ya wanasheria wazuri sana kwa hapa Tanzania?? Yeye ni mzuri kwenye sheria za mikataba,ndio maana hua anachungua loophole iko wapi,anapiga zake kimya! Njoo kwa Mzee Warioba ni mtamu sana kwenye sheria za majini na katiba! Sasa huwezi walinganisha hawa watu!
Sent using
Jamii Forums mobile app