Kwenye medani za Sheria Nani mkali Kati ya Lissu na Kibatala?

Prof Kabudi kasimamia kesi ngapi mpaka sasa ??
 
Sheria kuwa pana sana haizui kupima ubora wa mwanasheria mmoja mmoja, ni kama vile timu za mpira zina washambuliaji, mabeki, walinzi, viungo na makipa lakini tuzo ya mchezaji bora kwa ujumla ipo pamoja na tuzo nyingine kwa kila nafasi.
 
Kwa hiyo ingekuwa kwenye taaluma ya medicine tungeweza kusema kuwa cardiovascular surgeon ni bora zaidi ya neurosurgeon!?

Maana naona umeamua kulinganisha taaluma za kusomea na maswala ya michezo.

Sijui umewaza nini kuja na comparison ya taaluma ya sheria na mchezo wa mpira wa miguu
 
Kuna mmoja amelinganisha na wacheza mpira πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwa mfumo wetu wa mahakama sidhani kama yuko sahihi sana. Kesi za defence katika nchi yetu ni ngunu sana kwa sababu kama mnavyoona Mahakama nayo ni kama sehemu ya mashtaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…